babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Ndio maana huwa wakija bongo hawataki tena kurudi kwao 😂😂😂Aki tena na mimi sijawahi kuona. TZ kachumbari huwa ni complementary kwenye msosi mzima unaonunua ila kwa jirani unauziwa. Ukame hauwaacchi watu salama
Ndio maana wengi wao ni mwendo wa changaa tu 😂😂😂Kenya beer ni 5000,wana maisha magumu sana
Kenya beer ni 5000,wana maisha magumu sana
Pambana na hii kwanza[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Jaman enh nipo Nairobi, watawaambia nn hawa watu [emoji23]
Soda tu 90, hio 100 na chenji kubaki kwa mama ntilie unakula nn [emoji23]
View attachment 1248717
Du Kenya maisha ni magumu sana tz dar es salaam sahani yq ugali yenye mboga ya nyama njegere dagaa na tembere ni TSH 1000 kama uamini muulize mk254
Kwani kuulizwa kwake yeye ndo nisimsaidie kujibu mbona unakuwa na mambo ya kike.au wewe umeona kuna limitation ya mtu kujibuKalizwa simon we yakuwashiani sasa
Duh kumbe bia wanauziwa ksh250 kweli wako hali duni kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Jamaa yangu akijaga huku huwa anazifakamia balaa, Wana maisha magumu sana, Hiyo 250ksh mimi nishapiga Lite Tatu,
Hamna cha hotel ya wapigaji bali ndo hali yenu halisi ya maisha pambana nayo utokomeze umaskiniNani kakwambia kw mama nitilie kenya 50 huli sahani ya ugali au wali...
Huyo kaenda hoteli ya wapigaji..wee jiji hulijui unajifanya mjuaji, endelea kupigwa hvo hvo..utarevuka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurantsDah bora maisha ya bongo kuliko nairobi kenya hadi kachumbari inauzwa ksh5
Hamna cha hotel ya wapigaji bali ndo hali yenu halisi ya maisha pambana nayo utokomeze umaskini
mbona mnajifanya mazuzu. The price of soda ndogo (ya chupa) ni Ksh 35 ila kuna sehemu ukienda you will cough out ksh 200 or more to enjoy the same soda. It all depends with the joint and its location. Personally, I have never bought soda ya plastic for ksh 90 in a normal shop. It costs between ksh 60- ksh 70 in normal shops and restaurants
TTCL owns largest data centre in the whole of EA. Pia Vodacom and Halotel
NIDC - SECURED & PROTECTED HORIZON
A state-of-art tier-4 Data center connected with upgraded MPLS National backbone with the support of seacom & EASSY international submarine cables making it a strategic hub for East Africa and beyond.nidc.co.tz
Kenya beer ni 5000,wana maisha magumu sana
Mi soda ndogo hku mtaani ni 30 tu..
Jamaa kaingia hoteli analipishwa kachumbari pamona na tomato sauce[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Ukiwa zuka noma kweli..sasa atafanyaje hana ujanja na jiji
Nani kakwambia kw mama nitilie kenya 50 huli sahani ya ugali au wali...
Huyo kaenda hoteli ya wapigaji..wee jiji hulijui unajifanya mjuaji, endelea kupigwa hvo hvo..utarevuka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1249338
Mim nipo Nairobi nimebanwa kidogo na ratiba. Natakiwa kurudi Dar ijumaa, lakin sitarudi ijumaa. Jmosi nitakuwa nina mda mzuri kwa kuzunguka nairobi. Nitakuwa naleta updates humu [emoji23][emoji23]... sema kiufupi wana maisha magumu hawa jamaa [emoji23][emoji119]