Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

World's tallest under construction The Jeddah Tower

1,008 m (3,307 ft)
Roof 1,007 m (3,304 ft)
Top floor 630 m (2,067 ft)
Observatory 637.5 m

mnara hapo ni over 350 meters.
lakini jengo hilo halijakaa na design ya kua na mnara
kingdom-tower-1.jpg
 
hahahahah unaona sasa unavojikanyaga sasa 😀😀😀😀😀😀😀😀
Najikanyaga wewe nadhani english hujui waaaaa najua unadhani nimeita mnara punda hahahahaha aaaauuuiiiii but naelewa English huwapiga chenga.
 
Najikanyaga wewe nadhani english hujui waaaaa najua unadhani nimeita mnara punda hahahahaha aaaauuuiiiii but naelewa English huwapiga chenga.
hvi kwa akili yakuzaliwa kati ya hayo majengo mawili lipi lina mnara juu?????????😀😀😀😀😀😀😀
jxx5qcmepfede8ov5hyg.jpg
10005
 
hvi kwa akili yakuzaliwa kati ya hayo majengo mawili lipi lina mnara juu?????????😀😀😀😀😀😀😀
jxx5qcmepfede8ov5hyg.jpg
10005
so long us hakuna floor count hapo hio ni mnara, get that into your thick head.
 
Kwanini majengo ya Nairobi mengi yana minara juu?
Nairobi ndogo sana ,kuna uhaba wa ardhi ,kama MTU anavunja adi shule ya umma anasema kiwanja chake unafikiri mitandao ya simu itapata sehemu za kuweka minara ,ndo maana unaona wanajibanja kwenye majengo kama ivyo imagine mnara wa simu ulivyo mrefu alafu use juu ya jengo
 
Kinacho nishangaza nikuona wakenya wakileta humu habari ya majengo hayo kama sifa ya urefu
yaani mnara unalingana na jengo!!
Niujinga kufurahia
 
Back
Top Bottom