ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
naonesha streets kaka naelewaHii ya zamani sana kabla ata viva tower halijawa tayar
naonesha streets kaka naelewaHii ya zamani sana kabla ata viva tower halijawa tayar
Kwamba uhuru ana Nguruwe!!Hahaha Uhuru na Nguruwe wake!!
Kwanini majengo ya Nairobi mengi yana minara juu?Jengo lipo 50/50 na Mnara!!
Kweli vituko
Mnara hauna lolote ni mbwbwe tuUnajua wewe huwezi elewa mambo hayo ya Building technology. Achia wadau wakujuze!
Go find out mbona za New York pia zina minara kisha urudi.Kwanini majengo ya Nairobi mengi yana minara juu?
Inakuwaje Jengo 140m 60m mnaraGo find out mbona za New York pia zina minara kisha urudi.
Some of stupid Kenyans watakujibu mnara upo kwa ajli ya kuzalisha umeme wa upepo.Kwanini majengo ya Nairobi mengi yana minara juu?
Kabisa kama wanakuambia wanamiliki Iphone7Some of stupid Kenyans watakujibu mnara upo kwa ajli ya kuzalisha umeme wa upepo.
Hatusemi it's a fact.Inakuwaje Jengo 140m 60m mnara
Mnakuja kusema mnajengo Refu!!
huo ni ushamba
na ukitolewa je height itabaki ileile??????Go find out mbona za New York pia zina minara kisha urudi.
Jengo lina kofia juuna ukitolewa nje height itabaki ileile??????
Si muende muweke zenu kama munaumwa, burj khalifa, taipei 101, One WTC, petronas towers na zingine mingi zikona minara na ziko kwa top 10 tallest buildings in the world. Hata Jeddah tower under construction to be world's tallest itakua na mnara. Hii kelele yenu ni ya kwenu bongo tu.Hivi TPA au RITA ukaweka Mnara juu
si Vituko kwa Urefu!!
Hivi umeandika Kiswahili hiki!!Si muende muweke zenu kama munaumwa, burj khalifa, taipei 101, One WTC, petronas towers na zingine mingi zikona minara na ziko kwa top 10 tallest buildings in the world. Hata Jeddah tower under construction to be world's tallest itakua na mnara. Hii kelele yenu ni ya kwenu bongo tu.
Sasa mmeiga!!Si muende muweke zenu kama munaumwa, burj khalifa, taipei 101, One WTC, petronas towers na zingine mingi zikona minara na ziko kwa top 10 tallest buildings in the world. Hata Jeddah tower under construction to be world's tallest itakua na mnara. Hii kelele yenu ni ya kwenu bongo tu.
Shauri yako hio brathe wale wanaelewa wako sawa wewe enda utafute translator. IDGAFHivi umeandika Kiswahili hiki!!
Hivyo ndo hupimwa dunia mzima. Pengine wewe uanzishe yako.Sasa mmeiga!!
kwanini mpime urefu wa jengo ma Mnara!!
pimeni jengo tu
hatueki kwasababu hatuna ujanja wa kishamba......Si muende muweke zenu kama munaumwa, burj khalifa, taipei 101, One WTC, petronas towers na zingine mingi zikona minara na ziko kwa top 10 tallest buildings in the world. Hata Jeddah tower under construction to be world's tallest itakua na mnara. Hii kelele yenu ni ya kwenu bongo tu.