Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uje unijibu ukiwa umejipanga kisawa sawa.vinginevyo utaishia kuaibika.pia wakati unapitia picha na comment zangu kwenye thread hii na ile ya azam tv,hakikisha unaweka maelezo ya uhakika kuhusu digisuper lens kuwepo kenya.

Achana na mambo ya digisuper bana! Si ya msingi hataa!!
 
Hahhahahahaa! Wallahi sijaona wazimu kama wewe!! Yaani unaweza sema hiyo miguu inakaa fimbo za kucheza gofu!!!?? Miguu za mademu wa kibongo zimenona??
warembo wa bongo miguu mizuri unakutana na mrembo ana mguu wa bia ...unavutia siyo hao
 
princess casino bongo
1177_tanzania-princess-casino-dar-es-salaam.jpeg
20140328_064352.jpg
 
This Tower in Nairobi, Britam tower

Did you know;
That this tower and Charlton Tower SA are the only official skyscrapers in Africa so far??
Did you know:
That this tower is the only tower in Africa to win the American Architectural Award of the year??
Britam Tower Nairobi, waiting to be dethroned by a tower 500M away, Hass
18512558_406030619769967_3345923636916649984_n.jpg
Naona mlishinda kwa Mnara sio lingine
 
Back
Top Bottom