Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your problem is, trying to count the grass building cut design.
Floors are inside the building not outside.
Acha ujinga wewe.
In relation to high-rise floor is the gap between the roof and the actual(real) floor. Kama hujui sema ufundishwe.
 
What exactly are you talking about?
View attachment 1241695
1571821806806.png
 
In relation to high-rise floor is the gap between the roof and the actual(real) floor. Kama hujui sema hufundishwe.
Khakakaka are talking about roof? are you crazy or something?
How many roofs does this building has?
1571821980803.png

Pwahahaha umechanganyikiwa nenda kale kwanza.
 
Nimewashow picha ya TPA from ground floor hadi floor ya mwisho na bado wanapinga. The building is exactly 35 floors na sio hiyo 40 enye wanaclaim.
Niliwambia Dar masikini ni wengi hadi shida....sasa watajengewa akina nani
 
Na mkiambiwa Times tower ina 38 storey mnaanza kulia
Sikusema floor bali story.

Story inajumuisha hadi paki za magari wakati floor ni pale watu wanapo ishi/kufanya kazi. Hivyo TPA ina floor 35 lakini ina story 40.
 
Sikusema floor bali story.

Story inajumuisha hadi paki za magari wakati floor ni pale watu wanapo ishi/kufanya kazi. Hivyo TPA ina floor 35 lakini ina story 40.
Hiyo picha nimeleta includes hadi parking floors and I have counted them.
Screenshot_20191023-114647.jpeg
 
Nimewashow picha ya TPA from ground floor hadi floor ya mwisho na bado wanapinga. The building is exactly 35 floors na sio hiyo 40 enye wanaclaim.
Even the designers of the building say it's 35 floors. Lakini cha kushangaza ni kwamba Watanzania wasiokuwa hata na uwezo wa kuhesabu vitu rahisi kama number of floors walijenga ghorofa zingine tano juu ya existing ones

Mm nilisurender kubishana kwa hiyo Tpa...toka 2014 watu hawataki kuamini iko na 35 floors
Nimewashow picha ya TPA from ground floor hadi floor ya mwisho na bado wanapinga. The building is exactly 35 floors na sio hiyo 40 enye wanaclaim.
 
Alafu hawapendi kuargue na facts. Nimewaletea picha ya Rita na Millennium hili wanionyeshe those 30 floors na wanashindwa.

Back
Top Bottom