Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,946
- 27,904
Floor to ceiling gap.Kwa kuangalia hiyo picha uliweza vipi kuzihesabu?
Floor to ceiling gap.Kwa kuangalia hiyo picha uliweza vipi kuzihesabu?
Another one is millennium, nataka wanishow those 30 floors in this building. View attachment 1241704
Their tallest building ikipelekwa Nairobi inakuwa namba nne kwa urefu.Buildings zao mob ziko na era sana kutoka number za floors hadi meters, hii picha inakunyesha vile buildings zao ni fupi....ebu imagine Tpa ndio ndefu hapa na iko na 157m tu heheeView attachment 1241708
Their tallest building ikipelekwa Nairobi inakuwa namba nne kwa urefu.
Hiyo ceiling umeionaje wakati kuna vioo ni translucent?Floor to ceiling gap.
Yeah, Vioo ni translucent na sio opaque, that means I can count the number of floors. Do you also know that ceiling of one room below is the floor of the upper room ?Hiyo ceiling umeionaje wakati kuna vioo ni translucent?
Let me help you out!!!!...List of tallest buildings in Kenya - WikipediaStupid kenyans. Yaani mnaumia sana kuona Tanzania inawazidi kila kona. I told you to give a list of building 20fl and above in Nairobi. Unakimbia na kulia lia tu.
Ungeweza kuona ndani kama vioo ni transparent lakini siyo translucent material hairuhusu mwanga kutoka bali kuingia.Yeah, Vioo ni translucent na sio opaque, that means I can count the number of floors..
Kioo kimoja kinaweza kuchukua floor mbiliDo you also know that ceiling of one room below is the floor of the upper room ?
if you were an engineer, you would be the worst engineer in the whole world. So you want us to believe that each window pane of TPA is equivalent to two floors!!! That means that TPA is actually a 70-storey building. What a stupid reasoning!Ungeweza kuona ndani kama vioo ni transparent lakini siyo translucent material hairuhusu mwanga kutoka bali kuingia.
Kioo kimoja kinaweza kuchukua floor mbili
Nakuelewa sana bingwa, hawa jamaa vichwa vyao ni vizito sana.una huruma nao sana hao 🤦🏽♂️.... they’re very much know
Nimesema "kama", kwani neno "kama" unalielewaje? Huoni kuwa wewe ndiyo mwenye matatizo ya kuelewa?if you were an engineer, you would be the worst engineer in the whole world. So you want us to believe that each window pane of TPA is equivalent to two floors!!! That means that TPA is actually a 70-storey building. What a stupid reasoning!
Ungeweza kuona ndani kama vioo ni transparent lakini siyo translucent material hairuhusu mwanga kutoka bali kuingia.
Kioo kimoja kinaweza kuchukua floor mbili
Kwani wewe una macho ya tai kuweza kuona ndani?There is a difference between transparent and translucent glasses. In translucent I'll see but not clearly and that's why I'm saying that the translucent-ness of those glasses enables me to see the gap between the ceiling and the floor.
Boss wacha upumba hiyo ni jengo moja with two wings.....ivi mbona mnapenda kuforce vitu ivi?wachina wenyewe waliojenga wanaita MNF1 na MNF2
.. usibishane hapa na mtu aliewah panda hili jengo
Your argument that one window pane can cover two floors is what I was referring to. Can you explain to me how this is possible like a two year oldNimesema "kama", kwani neno "kama" unalielewaje? Huoni kuwa wewe ndiyo mwenye matatizo ya kuelewa?
Sass hapa pia utashindwa kuhesabuKwani wewe una macho ya tai kuweza kuona ndani?
We kiazi unahesabu floors kwa nje! Kwanza angalia hiyo lift inapanda hadi wapi + basementsAnother one is millennium, nataka wanishow those 30 floors in this building. View attachment 1241704