Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,839
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,839 2,000
Hawawezi lielewa hilo.
we komora sikia.... una enda ku renew ardhi but no body will ever take it from you, unless serekali ina kitaka ambapo watakulipa fidia, nikiwa na maana wana kinunua kutoka kwa mwenye kiwanja. na pia ni mfumo wa kuhakiki kama bado mwenye kiwanja yupo kwasababu kuna mwengine anaweza akawa ame fariki na hakuweza kukabithi kwa ndugu yake yoyote au mtu yeyote wakaribu.... Sasa nime kuelezea hvyo neng’eneka tena uje na point zako za ajabu.. tuta kujumuisha na wenzako wakiongozwa na baba yao....NICXIE .. lakini Nicxie mme mtoa wapi lkn.. yani ni muoongo.. ivi ni mkenya kweli?. kwasababu mnaweza kumkata. Sio kwa uwongo alio kua nao
[/QUOTE]

Kwani we unakiwanja mpaka ufanyiwee hvyo vitu?[/QUOTE]
 

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,839
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,839 2,000
We jamaa ni mkumbafu hivi??
Kuna umilikaji wa aina mbili umeusoma vema ??
Punguza upumbavu.
Kuna umilikaji ardhi wa kimila yani km mm mali yangu mwanangu aja kurithi.
Na kuna umilikaji ardhi wa hati.
Nikakutajia kuhusu NHC mathalan utamiliki ardhi yao kwa namna ya pili hapo juu.
Wewe mbona mgumu kuelewa??
Yote hayo miaka 33 mpka 99 ikifika.unatakiwa uka renew hyo ardhi...

Unajua maana ya ku lease wewe
[/QUOTE][/QUOTE]
 

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
4,057
Points
2,000

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
4,057 2,000
Unajua maana ya kukodisha au kiswahili kigumu.. aya basi kwa kingereza ni ku rent😂😂 Inamaana unachukua kitu kwa mtu badae uta kirudisha... sis hatu rent viwanja tuna vinunua, ina maana hatu virudishi, but Serikali ina haki ya kuvichukua wakivitka.. na it’s obvious wakitaka kuvichukua ina maana wanataka kutumia hiyo sehemu kwajili kitu cha uma..na pia waki vichukuaga wanalipiaga fidia, in other words, wanakinunua kutoka kwa mmiliki.. wee Nicxie wewe 😂😂😂😂😂 you soo dumb broo. You got to something men, I think it’s getting worse day by day 😂😂.. ni ushauri tu lakini
Eti kukodisha kwa kiingereza ni renting? 😂 😂 😂 😂 Are you redefining English? Then what is leasing kwa kiswahili?
 

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,839
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,839 2,000
Nikikikwambia ww huna akili unabisha.
Rudi shule.


SURA YA PILI
MASUALA MUHIMU KATIKA SERA NA SHERIA ZA ARDHI NCHINI TANZANIA
SERA YA TAIFA YA ARDHI YA 1995
Sera hii inaweka kanuni za msingi zinazotawala mfumo mzima wa umiliki, usimamizi na matumizi ya ardhi nchini. Kanuni hizo ni pamoja na:-
· Kutambua kuwa ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na kuwa imewekwa mikononi mwa Rais kama mdhamini kwa niaba ya raia wote.
· Kulipa fidia kamili, ya haki na kwa wakati kwa mtu yeyote ambaye haki miliki inafutwa matumizi yake.Pia kuwezesha ardhi kugawiwa kwa haki na kupatikana kwa raia wote
· Kuwawezesha raia wote kushiriki katika kutoa maamuzi ya mambo yanayohusiana na milki au matumizi yao ya ardhi.
· Haki ya kila mwanamke kupata,kumiliki,kutumia na kuuza au kuigawa ardhi kuwa sawa na haki ya mwanaume yeyote kwa viwango na masharti sawa
SHERIA ZA ARDHI ZA MWAKA 1999 NA SHERIA ZINGINE ZENYE MGUSO KATIKA ARDHI.
Maana ya ardhi
Ardhi ni ile inayojumuisha vitu vyote vilivyo juu na chini ya uso wa nchi vikiwemo majengo, uoto wa asili na maendelezo yote yaliyofanywa isipokuwa madini na bidhaa za mafuta na gesi.
Makundi ya ardhi
Ardhi imegawanyika katika makundi matatu ambayo ni:-
1. Ardhi ya kawaida/jumla: ni ardhi yote ya umma ambayo siyo ardhi ya hifadhi wala ardhi ya kijiji. Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria ya ardhi Na.4,1999 inajumuisha ardhi ya kijiji ambayo haikaliwi wala kutumiwa na wanavijiji. Kamishna wa ardhi ndiye msimamizi wa kundi hili la ardhi.
2. Ardhi Hifadhi: ni ardhi iliyotengwa kwa shughuli maalumu kama vile hifadhi za misitu, barabara, vyanzo vya maji nk. Kundi hili liko chini ya usimamizi wa mamlaka mbalimbali za aina ya ardhi husika.
3. Ardhi ya Kijiji: hii ni ardhi iliyo ndani ya kijiji kilichosajiliwa na kubainishwa mipaka. Kwa mujibu wa sheria ya serikali za mitaa (Mamlaka za Wilaya), ya mwaka 1982 na kuwa chini ya usimamizi wa Halmashari ya Kijiji. Pia ardhi ya kijiji ni ardhi iliyotengwa chini ya sheria ya uundwaji wa vijiji,1965.Vilevile, ardhi ya kijiji ni ardhi ambayo si hifadhi, na kwa muda wa miaka kumi na miwili kabla ya sheria ya ardhi ya vijiji,Na.5 kutungwa, wanakijiji wamekuwa wanaikalia na kuitumia kama ardhi ya kijiji na pasipo kuwepo na aina yoyote ya umiliki au matumizi kabla au wakati wa ya kipindi hicho
MFUMO YA UMILIKAJI WA ARDHI
Kuna aina kuu mbili za umilikaji wa ardhi nchini Tanzania
· Umilikaji ardhi kimila: Huu ni utaratibu wa umilikaji ardhi kwa kufuata taratibu za kimila na desturi za jamii husika. Aina hii ya umiliki hutumika katika ardhi ya kijiji kama ilivyobainishwa katika sheria ya ardhi ya vijiji Na.5,1999
· Umilikaji ardhi kwa Hati: huu ni utaratibu wa hati unaotumika na kutolewa katika kundi la ardhi ya kawaida/jumla. Katika utaratibu huu mtu anaweza kumiliki ardhi kwa hati ya miaka 33, 66 au 99 na anakuwa na hadhi ya upangaji.
Upatikanaji wa Ardhi
Ardhi inaweza kupatikana kwa njia zifuatazo:-
i. Kurithi
ii. Kusafisha pori/eneo lisilo na mmiliki
iii. Kununua
iv. Kupewa zawadi
v. Kugawiwa na serikali
Mamlaka za usimamizi wa ardhi
1. Halmashauri ya Kijiji- Hii haimaanishi kuwa Halmashauri ya Kijiji ni mmiliki wa ardhi ya kijiji bali ni msimamizi tu na haina mamlaka ya kugawa ardhi au kutoa ruhusa ya kutumia ardhi kimila bila idhini ya mkutano mkuu wa kijiji.
2. Mkutano Mkuu wa Kijiji- ndicho chombo chenye madaraka ya juu kijijini juu ya masuala yote ya yakiwepo masuala ya ardhi kama vile kuthibitisha na kukubali au kukataa maombi ya ardhi ya kijiji.
3. Kamishna wa Ardhi- ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa makundi yote ya ardhi na amepewa majukumu ya kiushauri kwenye ardhi ya vijiji.
Dhana za msingi katika mfumo w


KUNA AINA TATU ZA ARDHI NA UMILIKAJI WAKE.
WE ULIPELEKWA SHULE KUCHEZA AMA??
EBU SOMA VEMA KUNA AINA NGAPI ZA ARDHI NA UMILIKAJI WAKE.
KUNA ARDHI YA KIJIJI,ARDHI YA HIFADHI NA ARDHI YA UJUMLA.
SOMA ARDHI HIPI INAMILIKIWA KIMILA NA IPI INAMILIKIWA KWA HATI.

YANI WE JAMAA SHULE ULIKUA UNAKUAGA WANGAPI??
NAANZA KUSHUKU UELEWA WAKO.

UKITIZAMA UMILIKAJI WA ARDHI KIMILA UNAHUSU KUMILIKI ARDHI YA KIJIJI KM SISI TUNAZOMILIKI.
UMILIKAJI ARDHI KWA HATI HIZO MARA NYINGI NI ZILE ARDHI AMBAZO SERIKALI INAMILIKI NA IMEPIMA VIWANJA VYAKE NDIO INAKUAGA HIVYO.
SIJUI UNAELEWA AMA UNAKAZA KICHWA NDUGU!!!?
 

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
3,203
Points
2,000

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
3,203 2,000
which content you tanzanians are blockheads and empty brains
You think english is yours,meanwhile you are the "BROKEN ENGLISH MACHINE"
They don't say "your are talking"....you should say "you are talking"
 

Attachments:

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
19,848
Points
2,000

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
19,848 2,000
Kunyan, unless u r seeking for attention that bridge is old u can't compare with this brand new Bridge! 

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
6,659
Points
2,000

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
6,659 2,000
A witch will never lack excuses, enjoy the product of your low quality construction.
Kunyan, unless u r seeking for attention that bridge is old u can't compare with this brand new Bridge!FB_IMG_15707143028743525.jpeg
FB_IMG_15707143111371450.jpeg
 

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
5,568
Points
2,000

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
5,568 2,000

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
4,060
Points
2,000

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
4,060 2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,839
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,839 2,000
Hili daraja letu limejengwa muda mrefu sana kitambo mnooo.
Na hyo ni natural calamity huwezi izuia.
Ila upumbavu wa kwenu Kenya daraja limeanguka lenyewe na la awamu ya Uhuruto eti nilisoma habari lina cost $100 mln are you serious ???
A witch will never lack excuses, enjoy the product of your low quality construction. View attachment 1228880View attachment 1228881
 

Forum statistics

Threads 1,344,042
Members 515,307
Posts 32,805,762
Top