Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hiyo calavert mnaiita flyover, smh
jamani tuonyeshe ya Dar we learn from you. Mji mkubwa kabisa Afrika mashariki na ya kati. Mji mdogo kama Nairobi unaeza faidika na mawaidha na expereince yenu kwa ujenzi wa barabara
 
haki hii interchange ipo wierd mbona wamechukua nafasi kubwa namna hii? wasiweke level mbili?
its cheaper to make the ramps that way because that is enough road reserve. Otherwise in a developed place that was not reserved, double or even more deckers could've been used
 
Wakenya hiyo calavert mnaiita flyover, smh
Kweli bado twajifunza kujenga flyovers. Nimetembea kwote Afrika na naweza sema Nairobi iko nyuma sana kwa ujenzi wa bara bara. Nimekutana na nzuri zaidi zenye urefu zaidi kule Dar ambazo naelezewa zilijengwa miaka ya kale
outer1.jpg
outer2.jpeg
 
Yes, that alarm was set to remind you to shut the hell up and deal with your LDC problems
Hahaa.. wewe utakuwa wardo (warden) wa Machakos High. Nenda kazime taa kwa dormitory watoi walale, muda wa prep ume murder
 
Heheee!!endelea kuunga juhudi mzalendo simon
watu dizain hio wa ujuaji wa namna hio huwa mara nying ni mambumbu... they just trying to fit in and be seen as educated in the intellectual world!

NB: hajatajwa mtu lkn hilo povu litakalokuja sasa
 
Hakuna kitu km zanzibarian descent jomba...rudi shule tena
Whatever lakini kwenye viwanda vyake ananunua matunda kutoka Tanzania nenda kwenye viwanda vyake uone idadi ya magari kwa mamia yakishusha matunda kutoka shambani, analipa kodi na anatoa ajira, nini kingine unataka?
 
Inaonesha ni jinsi gani hawa jamaa ni wabaguzi, ingekuwa wao hata wangoni wangetengwa. Utaifa wa mtu haujaji origin ila contribution yake kwa jamii. No wonder wamekua wakipambana Obama aonekane ni mkenya wakati tayani ni muamerika
 
The monkey will always be a monkey 🦍🦍🦍🦍🦍🐒🐒🐒🐵🐵
 
Inaonesha ni jinsi gani hawa jamaa ni wabaguzi, ingekuwa wao hata wangoni wangetengwa. Utaifa wa mtu haujaji origin ila contribution yake kwa jamii. No wonder wamekua wakipambana Obama aonekane ni mkenya wakati tayani ni muamerika
"Utaifa wa mtu haujali origin ila contribution yake..." wacha tu ninyamazie hapo kwa sababu this is only important to Tanzania and not Kenya. Ingekuwa ni Kenya ingesemekana vile uchumi inamilikiwa na watu wasiokuwa na roots za kikenya. It's a free world, anyone can say anything as long as it suits their argument
 
Back
Top Bottom