Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naongelea slums, Nairobi ina slums, Dodoma haina slums

Halafu futa notion iliopo kwenye kichwa chako kwamba miji ya Tanzania haipo planned, sikatai ipo miji ambapo some of their areas are not properly settled lakini most of the cities and towns are well established,

Check with the Singida and Musoma as a study case quite unpopular lakini zipo good
View attachment 1231575View attachment 1231576View attachment 1231577View attachment 1231578View attachment 1231582
huyo hana akili mwache abaki na ujinga wake abaki kama anavyohisi.......tanzania dar pekee ndiyo kidogo tulijichanganya ila almost 99 percent ya mikoa mingine haipo hovyo na haitokuja kuwa unplanned......

huyo umempa faida ya bure ungemuacha tu abaki na uchokoraa wake
 
wakenya wengi wa JF wana short mind set kuhusu Tz na hii yote sababu ya uchokoraa wao wakimaisha

ndiyo maana wameishia hapa
download.jpeg
 
Hyo ndio maana ya modern...yani kw akili zako umesha define maana ya neno mordern
Wachina walipotutengenezea TAZARA walituletea tekinolojia mpya kabisa kwa sasa reli zao wanatumia tekinolojia ya CWR. Nyinyi wamewaingiza mjini na kwa ushamba wenyu mmeingia mkenge, wamewajengea reli ya kizamani ile yenye mabolts "mingi". 🙂
 
Na hawataki kukubali kama wameingizwa chaka na wachina🤣🤣🤣🤣🤣
 
Heheee!!mbna wazunguka sana..nieleze maana ya modern
Wachina walipotutengenezea TAZARA walituletea tekinolojia mpya kabisa kwa sasa reli zao wanatumia tekinolojia ya CWR. Nyinyi wamewaingiza mjini na kwa ushamba wenyu mmeingia mkenge, wamewajengea reli ya kizamani ile yenye mabolts "mingi". 🙂
 
Dude ilooo cheki linavyopendezaView attachment 1232910
Zidi kununua na tunawaombe mnunue zaidi. Lakini mtakuja kujua biashara ya ndege si ya kusafirisha lori za vitunguu hadi Nairobi. There's a reason most airlines prefer leasing over buying. The most experienced executives will tel you its business over status. But you people seem to love status more.
 
Kwani ku_lease si kuja wanaonunua pia halafu wengine wanalease?
Watakuja ku-lease kwetu
 
Back
Top Bottom