Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta uthibitisho.
Ukwel ni kwamba...mnakodi ardhi
[/QUOTE][/QUOTE]
Kukodi kitu inamaana haukimiliki ww ila anayekimiliki anakumilikisha kwa muda mliokubaliana huku ukimlipa na unaposhindwa kumlipa anarudisha mali ktk umiliki wake.
Ebu thibitisha kuwa mtu asipokuwa na hati miliki na kutokulipa kodi anapokonywa ardhi hapa Tanzania???
Nasubiri jibu....................
 
Magu aongeze tu nguvu zaidi kwenye infrastructure ili tuongeze earnings from tourism.
Huyu jamaa anazinguaga kwenye takwimu zake ila kwa hii ya leo kaheshimu kazi yake

Ni kweli kabisa, infrastructure ikiboreshwa earnings zitaongezeka. Upande wa kusini kwa mfano, wakijenga viwanja vya ndge vya kimataifa labda na uboreshaji wa barabara na treni. Kaskazini huko Knjaro na Arusha wajenge sgr connecting the two places na kuboresha KIA.
 
Tanzanians don't own anything as far as land is concerned. The only thing they own are two small balls hanging between their legs

It Nicxie again 😂😂😂😂😂😂😂.. kwani ata kama state ndo ina own the land kwani hiyo state ni kina nani?.. si sisi watanzania wenyewe au 😂😂😂😂😂 .. au unathani hiyo state ni wahidi au wakora kama kenya huko🤦🏾‍♂️.. huo ni mfumo ulio ekwa ili kuondoa mfumo wa ki ubepari (capitalism) ili kila mtanzania anufaike. Ndo maana kenya ukizaliwa maskini most probably utakufa maskini...😂 au bado hamja figure that out? .🤷🏽‍♂️. The land is own by the state of Tanzania which the state is the Tanzanians them selves... we Nicxie wewe 😂😂😂😂😂😂😂 nisha kuambia ukitulize huelewagi.. yo so dump broo 😂😂. Lakini I’m getting used to it now.
 
It Nicxie again .. kwani ata kama state ndo ina own the land kwani hiyo state ni kina nani?.. si sisi watanzania wenyewe au .. au unathani hiyo state ni wahidi au wakora kama kenya huko.. huo ni mfumo ulio ekwa ili kuondoa mfumo wa ki ubepari (capitalism) ili kila mtanzania anufaike. Ndo maana kenya ukizaliwa most probably utakufa maskini... au bado hamja figure that out? .. The land is own by the state of Tanzanian which the state is the Tanzanians them selves... we Nicxie wewe nisha kuambia ukitulize huelewagi.. yo so dump broo . Lakini I’m getting used to it now.
Ameshasahau kuwa huku Tz ukimiliki heka nyingi kupitiliza kiwango hususan km sio mzawa ardhi inataifishwa??
Refer to Manji alichofanyiwa.
Lakini Kenya ubepari umezidi yani mzungu kwa pesa zake anamiliki ardhi kubwa isiyo na kikomo kama vile hakuna vizazi vingine vya Kenya vya kumiliki ardhi na kwa ushenzi wanalimia maua huku wakenya wanakufa njaa.
Hajui kama huku Tanzania serikali ni wasimamizi wa ardhi sio wamiliki.
 
Nimemletea article pale inahusu "Nani anaimiliki Kenya"?.
Unaambiwa asilimia 65 ya ardhi yenye rutuba inamilikiwa na watu asilimia 20 .
Watu asilimia 80 ndio wanamiliki asilimia 17 ya ardhi ya rutuba iliyobaki huku nyingine ikiwa sio ardhi zalishi.
Hivi hii ni sawa kweli???!!!
Apart from slums and tribalism, Kenyans own nothing, land belongs to wazungu and Kenyatta family
 
Ukwel ni kwamba...mnakodi ardhi
[/QUOTE][/QUOTE]Hahahaha, Ardhi ya Tanzania ni Mali ya Uma(Public property), sasa kama ni Mali ya public, nani tena anatukodisha?. Hivi katika familia mkiwa na Shamba chini ya uangalizi wa baba, hilo sio Shamba la familia?. Endeleeni kuwakabidhi ardhi yenu wazungu walime maua na chai, wengine wameshikilia ardhi kama msitu, lakini mamilioni ya wakenya hawana ardhi wanakufa kwa njaa
 
Nimemletea article pale inahusu "Nani anaimiliki Kenya"?.
Unaambiwa asilimia 65 ya ardhi yenye rutuba inamilikiwa na watu asilimia 20 .
Watu asilimia 80 ndio wanamiliki asilimia 17 ya ardhi ya rutuba iliyobaki huku nyingine ikiwa sio ardhi zalishi.
Hivi hii ni sawa kweli???!!!

Isha kua hvyo 😂😂😂.. uta fanyaje sasa. Most probably ya wakenya waliopo humu ndani hawana ndoto ya kuja kumiliki kiwanja.. wala ata haipo kwenye vichwa vyao 😂😂😂.. wana anzia wapi kwanza
 
Wakumbafu hawa.
Halafu fala la kikenya linakuja kutamba "eti rent nayolipa ktk apartment yangu ni zaidi ya mshahara wako".
Ilhali huku una rent nyumba nzuri nzimma kuzid vyumba alivyopanga yeye viwili kwa bei nafuu.
Yani hawa wana uwazimu.
Isha kua hvyo .. uta fanyaje sasa. Most probably ya wakenya waliopo humu ndani hawana ndoto ya kuja kumiliki kiwanja.. wala ata haipo kwenye vichwa vyao .. wana anzia wapi kwanza
 
Kuna kukodi aina nyngi bro..wacha kujitoa ufahamu...halafu nicxie keshakuletea uthibitisho km mnakodi ardhi si zaidi ya miaka 99...

Nasubiria uthibitisho ya kwamba wakenya hawana uhuru wa kumiliki ardhi
Leta uthibitisho.
[/QUOTE]
Kukodi kitu inamaana haukimiliki ww ila anayekimiliki anakumilikisha kwa muda mliokubaliana huku ukimlipa na unaposhindwa kumlipa anarudisha mali ktk umiliki wake.
Ebu thibitisha kuwa mtu asipokuwa na hati miliki na kutokulipa kodi anapokonywa ardhi hapa Tanzania???
Nasubiri jibu....................[/QUOTE]
 
Umeanza kuwehuka na wewe siku hz
Wakumbafu hawa.
Halafu fala la kikenya linakuja kutamba "eti rent nayolipa ktk apartment yangu ni zaidi ya mshahara wako".
Ilhali huku una rent nyumba nzuri nzimma kuzid vyumba alivyopanga yeye viwili kwa bei nafuu.
Yani hawa wana uwazimu.
 
Wewe na Nexcie wako wote hamuna akili.
Nimemletea vipengele vya umiliki ardhi Tanzania amekimbia hajanithibitishia kitu.
Unajua maana ya kukodi ww??
Ukikodi mali ya mtu pasi na kumlipa yeye huirejesha mikononi mwake ktk umiliki wake.
Hapa Tanzania kuna watu hawana hati na hawajalipa kodi ya pango hadi sasa na hawajawahi kupokonywa ardhi bali wanalipishwa faini ya kutokulipa kodi.

Hiyo ni aina ya umilikaji wa ardhi inayolinda maslahi ya ulipaji kodi wa serikali pia.
Huna hata moja ulichonithibitishia.

SURA YA PILI
MASUALA MUHIMU KATIKA SERA NA SHERIA ZA ARDHI NCHINI TANZANIA
SERA YA TAIFA YA ARDHI YA 1995
Sera hii inaweka kanuni za msingi zinazotawala mfumo mzima wa umiliki, usimamizi na matumizi ya ardhi nchini. Kanuni hizo ni pamoja na:-
· Kutambua kuwa ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na kuwa imewekwa mikononi mwa Rais kama mdhamini kwa niaba ya raia wote.
· Kulipa fidia kamili, ya haki na kwa wakati kwa mtu yeyote ambaye haki miliki inafutwa matumizi yake.Pia kuwezesha ardhi kugawiwa kwa haki na kupatikana kwa raia wote
· Kuwawezesha raia wote kushiriki katika kutoa maamuzi ya mambo yanayohusiana na milki au matumizi yao ya ardhi.
· Haki ya kila mwanamke kupata,kumiliki,kutumia na kuuza au kuigawa ardhi kuwa sawa na haki ya mwanaume yeyote kwa viwango na masharti sawa
SHERIA ZA ARDHI ZA MWAKA 1999 NA SHERIA ZINGINE ZENYE MGUSO KATIKA ARDHI.
Maana ya ardhi
Ardhi ni ile inayojumuisha vitu vyote vilivyo juu na chini ya uso wa nchi vikiwemo majengo, uoto wa asili na maendelezo yote yaliyofanywa isipokuwa madini na bidhaa za mafuta na gesi.
Makundi ya ardhi
Ardhi imegawanyika katika makundi matatu ambayo ni:-
1. Ardhi ya kawaida/jumla: ni ardhi yote ya umma ambayo siyo ardhi ya hifadhi wala ardhi ya kijiji. Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria ya ardhi Na.4,1999 inajumuisha ardhi ya kijiji ambayo haikaliwi wala kutumiwa na wanavijiji. Kamishna wa ardhi ndiye msimamizi wa kundi hili la ardhi.
2. Ardhi Hifadhi: ni ardhi iliyotengwa kwa shughuli maalumu kama vile hifadhi za misitu, barabara, vyanzo vya maji nk. Kundi hili liko chini ya usimamizi wa mamlaka mbalimbali za aina ya ardhi husika.
3. Ardhi ya Kijiji: hii ni ardhi iliyo ndani ya kijiji kilichosajiliwa na kubainishwa mipaka. Kwa mujibu wa sheria ya serikali za mitaa (Mamlaka za Wilaya), ya mwaka 1982 na kuwa chini ya usimamizi wa Halmashari ya Kijiji. Pia ardhi ya kijiji ni ardhi iliyotengwa chini ya sheria ya uundwaji wa vijiji,1965.Vilevile, ardhi ya kijiji ni ardhi ambayo si hifadhi, na kwa muda wa miaka kumi na miwili kabla ya sheria ya ardhi ya vijiji,Na.5 kutungwa, wanakijiji wamekuwa wanaikalia na kuitumia kama ardhi ya kijiji na pasipo kuwepo na aina yoyote ya umiliki au matumizi kabla au wakati wa ya kipindi hicho
MFUMO YA UMILIKAJI WA ARDHI
Kuna aina kuu mbili za umilikaji wa ardhi nchini Tanzania
· Umilikaji ardhi kimila: Huu ni utaratibu wa umilikaji ardhi kwa kufuata taratibu za kimila na desturi za jamii husika. Aina hii ya umiliki hutumika katika ardhi ya kijiji kama ilivyobainishwa katika sheria ya ardhi ya vijiji Na.5,1999
· Umilikaji ardhi kwa Hati: huu ni utaratibu wa hati unaotumika na kutolewa katika kundi la ardhi ya kawaida/jumla. Katika utaratibu huu mtu anaweza kumiliki ardhi kwa hati ya miaka 33, 66 au 99 na anakuwa na hadhi ya upangaji.
Upatikanaji wa Ardhi
Ardhi inaweza kupatikana kwa njia zifuatazo:-
i. Kurithi
ii. Kusafisha pori/eneo lisilo na mmiliki
iii. Kununua
iv. Kupewa zawadi
v. Kugawiwa na serikali
Mamlaka za usimamizi wa ardhi
1. Halmashauri ya Kijiji- Hii haimaanishi kuwa Halmashauri ya Kijiji ni mmiliki wa ardhi ya kijiji bali ni msimamizi tu na haina mamlaka ya kugawa ardhi au kutoa ruhusa ya kutumia ardhi kimila bila idhini ya mkutano mkuu wa kijiji.
2. Mkutano Mkuu wa Kijiji- ndicho chombo chenye madaraka ya juu kijijini juu ya masuala yote ya yakiwepo masuala ya ardhi kama vile kuthibitisha na kukubali au kukataa maombi ya ardhi ya kijiji.
3. Kamishna wa Ardhi- ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa makundi yote ya ardhi na amepewa majukumu ya kiushauri kwenye ardhi ya vijiji.

Ebu someni muelewe.
Maana duh.
Nataka jibu sahihi wapi kumeandikwa kuwa tunakodishiwa ardhi ???
Unless ardhi iwe ya NHC basi kama unaitaka utaikodisha au kuuziwa.
Kama mali ni yako huwezi kukodishiwa.
Unayoona hapa kuna categories umilikaji wa ardhi wa kimila kama vile kurithishana yani ardhi yangu nikifa ya mwanangu serikali haiingilii kitu hapa.

Umilikaji ardhi kwa hati hii inahusiana na ardhi ambayo inamilikiwa na serikali hususan NHC kama unataka kuimiliki uende ukapate hati yake serikalini na muwafikiane na serikali umilikaji wake.

Sijui unaelewa???
Asa nataka unioneshe wapi tunakodishiwa ardhi zetu wenyewe.................

BILA KUSAHAU ASILIMIA 65 YA ARDHI YA RUTUBA INAMILIKIWA NA ASILIMIA 20 YA WATU AMBAO MABEPARI HUKO KWENU KENYA.NINYI MKAACHIWA ASILIMIA 17 MGAWANE ASILIMIA 80 YA WATU MLIOBAKIA ARDHI YENYE RUTUBA.
MTAJIITA WATU NINYI AU WAFU??
Who owns Kenya?
on September 29, 2014
The 2010 constitution prevents foreigners from owning land in Kenya, but as Kenyans have come to find out implementing these provisions are complicated by the ambiguous nature of the law and deliberate moves by the landed class to frustrate the process.
Bill Odidi
When Kenya’s Attorney General told the International Criminal Court in July this year that there were no records to indicate that President Uhuru Kenyatta owned any land in the country, his comments offered a reflection of the mysterious nature of landownership in Kenya.
It is well known that the family of Kenya’s First President, Jomo Kenyatta, father to the current President, owns large tracts of the most productive land particularly in Central Kenya and at the Coast. Forbes Magazine placed the total land owned by Kenyatta and his family at 500,000 acres of prime land spread across the country.
A survey 2014 found that 50% of Kenya’s wealth is in the hands of political families , with the ownership of land providing the core of this wealth.
The skewed ownership of land is dire in a country where only 17% of the land is arable, with the rest mostly arid and semi arid. The Kenya Land Alliance says that more than 65% of this productive land in Kenya is in the hands of only 20% of the population.
The chaotic nature of land records in Kenya obviously suits the political and business elite who would like to maintain secrecy over their ownership of the country’s land. In recent audit, The Lands Ministry discovered that 1.3 million files were lost, misplaced or misfiled.
Kuna kukodi aina nyngi bro..wacha kujitoa ufahamu...halafu nicxie keshakuletea uthibitisho km mnakodi ardhi si zaidi ya miaka 99...

Nasubiria uthibitisho ya kwamba wakenya hawana uhuru wa kumiliki ardhi
Kukodi kitu inamaana haukimiliki ww ila anayekimiliki anakumilikisha kwa muda mliokubaliana huku ukimlipa na unaposhindwa kumlipa anarudisha mali ktk umiliki wake.
Ebu thibitisha kuwa mtu asipokuwa na hati miliki na kutokulipa kodi anapokonywa ardhi hapa Tanzania???
Nasubiri jibu....................[/QUOTE][/QUOTE]
 
Ukweli lazima usemwe.
Kuna wajinga wakenya wenzako eti mtu anashupalia kwa nguvu zote na kujitapa "rent nayolipa ni kubwa kukuzidi mshahara ".
Asa si ukumbafu huu??!!
Wewe unaweza kujitapa ama kuleta majigambo ya kipuuzi kama haya??!!
Umeanza kuwehuka na wewe siku hz
 
Yote hayo miaka 33 mpka 99 ikifika.unatakiwa uka renew hyo ardhi...

Unajua maana ya ku lease wewe

Back
Top Bottom