Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo sio slums bali ziko unplanned.yani njoo na pic ambayo inaonesha slums kama za kibera au mathare ukizipata utakuwa mshindi

Alosema ni slum nani? Mbona unajishuku na hizo ni dream houses? [/QUOTE]Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sana
[/QUOTE]
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?
 
Alosema ni slum nani? Mbona unajishuku na hizo ni dream houses?
Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sana
[/QUOTE]
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?[/QUOTE]slums is the poorest houses.sasa huwezi sema nyumba za block au middle house ni slums.ndo maana nyumba za kibera nairobi na za dar zimetofautiana katika ubora haziwezi lingana.
 
Alosema ni slum nani? Mbona unajishuku na hizo ni dream houses?
Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sana
[/QUOTE]
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?[/QUOTE]Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisa
 
Weee jama wewe😂😂😂😂😂😂😂 kibera ana afford kuu kaa tegeta??😂😂😂😂 yani wakenya mna ndoto zenu wenyewe embu paonene tegeta 👇🏽... sio tegeta naijua mimi.. sio wale wanao kaa kwenye mabati yale 😂😂😂😂😂😂 we jama wewe... Nicxie kaa kutuma nini 😂😂 na hao wote unao waona ni private homes.. and their own land..😂😂 that’s how rich we are

View attachment 1227346View attachment 1227346

Tena mbezi ndo wala hutakiwi kuitaja.., hakuna mtu wa anaeishi kwenye apartment apo kenya anaweza kupa affords huku 👇🏽👇🏽👇🏽.. wakenya bwana 😂😂😂 mna nifuraishaga sana 👇🏽👇🏽👇🏽

View attachment 1227350View attachment 1227355

😂😂😂😂😂😂😂😂 you fulls y’all just don’t know what you messing with.. na I dare you kunitumia sehemu apo Nairobi ambapo unapa a lot of individuals house nyingi namna hiyo.. na apo ata sijaenda pande za masaki huko.. na oysterbay
[/QUOTE]
Za Nairobi ndio hizi hapa
View attachment 1227797View attachment 1227799View attachment 1227800View attachment 1227801View attachment 1227802View attachment 1227804
[/QUOTE]

Kabishane na google maps bwana Nicxie.. promise you I won’t keep up with your ignorance 😂😂😂😂😂.. peace ✌🏾
 
Na hili jiji la dodoma kwa kipindi ya miaka michache inaweza ikaipita jiji la nairobi linakuja kwa kasi ya 4g
mnapenda uchokozi kweli, hiyo Dodoma kwanza ikabishane na Eldoret before hata Nakuru 🤣🤣
 
stats za NGO wanaopora wazungu kibera has less than 250k people , 250k being the highest
Kibera is just 2.5 square kilometres. A very small area. But to these bongolalas, such a small area can actually accommodate 2.5 million people! That's a population density of 1 million people per square kilometre! Well, kibera people must be alliens, they are not from this planet and that's why they can fit in such a small area 😂 😂
Kweli common sense is not common to everyone
 
nikujibu kweli hilo swali?

Because you try to think you can differentiate The Government of Tanzania and Tanzanians. Unaita majengo ya Serikali, you forget to write the Whole sentence.. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ninyi ndo mliosema kuwa ni slums au unajitoa ufahamu hujui hata ulichokiandika pole sana
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?[/QUOTE]Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisa
[/QUOTE]
Because you try to think you can differentiate The Government of Tanzania and Tanzanians. Unaita majengo ya Serikali, you forget to write the Whole sentence.. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?
 
Mi mjinga naeza kuback my arguments with numbers and photos. Mwerevu wewe ni vicheko vya kitoto. Huo sio ujinga? ama huelewi maana ya ujinga?
Huyu mwelewe tu. Leo ndo amegundua mahali emoji hukuaga kwa interface ya JF. Wacha mtoto ajifurahishe kidogo na emoji, atachoka tu
 
unplanned residential houses ni nini kama sio slum?
Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisa
[/QUOTE]

how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?[/QUOTE]Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki
 
Back
Top Bottom