Weee jama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibera ana afford kuu kaa tegeta??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani wakenya mna ndoto zenu wenyewe embu paonene tegeta [emoji1427]... sio tegeta naijua mimi.. sio wale wanao kaa kwenye mabati yale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jama wewe... Nicxie kaa kutuma nini [emoji23][emoji23] na hao wote unao waona ni private homes.. and their own land..[emoji23][emoji23] that’s how rich we are
View attachment 1227346View attachment 1227346
Tena mbezi ndo wala hutakiwi kuitaja.., hakuna mtu wa anaeishi kwenye apartment apo kenya anaweza kupa affords huku [emoji1427][emoji1427][emoji1427].. wakenya bwana [emoji23][emoji23][emoji23] mna nifuraishaga sana [emoji1427][emoji1427][emoji1427]
View attachment 1227350View attachment 1227355
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you fulls y’all just don’t know what you messing with.. na I dare you kunitumia sehemu apo Nairobi ambapo unapa a lot of individuals house nyingi namna hiyo.. na apo ata sijaenda pande za masaki huko.. na oysterbay