Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu niliwaambia waende Google Map wasearch slums in Dar kisha walete screenshot hapa kisha wasearch tena slums in Nairobi kisha walete screenshot hapa naona wanakwepa quote yangu 😂😂😂.
 
Kuna wakati walikana sana eti hii si picha ya Dar. Denial is in their blood
Wacha wajikaze na hopes. Blind patriotism at its best. Nashangaa wanashabikia vitu basic sana hata nikajiambia kweli waKenya tuko blessed sana ila hatuoni. Lakini I think ni media PR imekuwa ikichocha hizi project za JPM sana bila any criticism ndiposa wanapiga mdomo sana.
 
Kuna watu niliwaambia waende Google Map wasearch slums in Dar kisha walete screenshot hapa kisha wasearch tena slums in Nairobi kisha walete screenshot hapa naona wanakwepa quote yangu 😂😂😂.
Sijui nitakujibu mara ngapi. You guys seem to want to redefine the meaning of slums
 
Kibera is just 2.5 square kilometres. A very small area. But to these bongolalas, such a small area can actually accommodate 2.5 million people! That's a population density of 1 million people per square kilometre! Well, kibera people must be alliens, they are not from this planet and that's why they can fit in such a small area 😂 😂
Kweli common sense is not common to everyone

blame tanzanias substandard ujamaa education
 
Umeshau km ardhi hko ni ya ccm...
Maskini, yani unakodishiwa ardhi na serikali km vile wewe huna haki ya kuimiliki hyo ardhi km raia mwema...
Unaishi km squater kwenu..si fair haki
Can not compare house ya kibera au mathare dhd ya nyumba za dar ziko tofauti kabisa

how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?[/QUOTE]Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki[/QUOTE]
 
Kuna watu niliwaambia waende Google Map wasearch slums in Dar kisha walete screenshot hapa kisha wasearch tena slums in Nairobi kisha walete screenshot hapa naona wanakwepa quote yangu .
There is no need for Google Map.
Screenshot_20190912-104855.jpeg
Screenshot_20190912-104831.jpeg
 
Umeshau km ardhi hko ni ya ccm...
Maskini, yani unakodishiwa ardhi na serikali km vile wewe huna haki ya kuimiliki hyo ardhi km raia mwema...
Unaishi km squater kwenu..si fair haki

how'd you benefit as an individual ikiwa ya serikali ya muungano? waeza kuacha kama urithi? ukiishiwa na pesa mfukoni utaennda kuitisha rent kwa hiyo gorofa?
Kwa hilo wewe sahau karibia kila raia watz anamiliki ardhi na nyumba yake ya standard.na ishu kama hii huwezi kuikuta kwa kenya ndo maana mlikuwa mnaililia ardhi yetu coz huko kwenu serikali ndo imemiliki[/QUOTE][/QUOTE]Thibitisha kauli yako kama ardhi ya dar au tz n ya ccm au ndo unaropoka pumba zako husizozijua.


Yaan unataka kulinganisha wanachofanyiwa kenya ni sawa na tz.in tz kl raia ana haki ya kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake.


Na hata hivyo tuna shirika la nyumba ya taifa linaloitwa NHC ambao wanapangisha na kuuza nyumba walizojenga wao wenyewe


In kenya raia hana mamlaka ya kumiliki ardhi mmekuwa watumwa kwenye ardhi yenu yenyewe
 
Back
Top Bottom