Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hauna aibu ukisema 'form 4 leaver' ??? karibu Kenya uone mtoto yuko baby class ushangae.
Wewe unafikiri uku tz kuna mkazo sana kwenye lugha ya malkia?ukute mtu kamaliza degree kabisa lakini kuongea anauma maneno Ila mpe paper aandike proposal Au issue yoyotekwa kingereza utashangaa.....

Uyo mond anajitahid muacheni alpige izo broken hadi ajue
 
kama Rais wenu "Dr" JPM

dummy
 
english kwetu si ya ulazima mbona uko mnakua nayo hafu kuna maboya wanaongea bloken kama kama....na machjzi wenu wanaoshinda dampo wanakiongea

hiyo ni lugha ya kawaida kama nyingine wasouth africa na egypt kuna jopo la watu wengi english hawajui acha utumwa acha ushamba....kijana haujabarehe nini
wanaongea bLocken. sawa
 
huyo ni mwanasayansi akiwa Tz pekeyake. akikuja Kenya io degree yake inakuwa revoked
apo turkana?
...

Bro kumbe nawe grandiose patient not on medication !!

We umesoma degree ya maua nawe umesoma?jionee huruma
 
huyo ni mwanasayansi akiwa Tz pekeyake. akikuja Kenya io degree yake inakuwa revoked
kenya mataila kibao .......eti nayo yanajivunia lugha za watu......ha haa haaa kweli wakimbizi......wa karne hawa
 
Kiswahili yenyewe ilianzia Kenya.
ni kweli ila kiswahili kinachopendwa zaidi kenya na duniani kote ni kile tunachokizungumza na sisi watanzania.

38cd791dc332063db835c4109596e09d.jpg
 
The second tallest skyscraper on the African continent After carlton centre in Johannesburg.
BRITAM TOWER

18512558_406030619769967_3345923636916649984_n.jpg
 
Back
Top Bottom