Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SMH..[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
2e0107524c067b9ad65df010ae1c2da9.jpg
Dude photos za ugali zilidedi ama
 
Dude photos za ugali zilidedi ama
unauliza kuhusu utafunaji wa miraa miongoni mwa vijana wengi wa kenya?.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
different types of delicious and healthy local food in dar es salaam.
00bf612e2add7e4379ac562b96c711f3.jpg
88ba46942ec1f398f42b6ead0bd789d5.jpg
4ace4e5dc3f49fc39ff60aa2efe0dd2a.jpg
4ded047f4182994b1bcbdf5d1e68bca5.jpg
80208a7300b304d563ee0e151ea6ed8b.jpg
9b8dc701ac75ca09d21260b1810d7bcc.jpg
d4a7c23901ea4e53cc06060824ad46f1.jpg
0f17cd951717259907a8d49bd815bc1a.jpg
7f5202b5a21adc6e5688ed84bc8bd925.jpg
5ba81900117c496fb288e0be9f83c191.jpg
9ab818ad1ac8d029bf4a57e95f993716.jpg
4bc9e346aed26e61246cba5a22beb2a0.jpg
4d8800f0a5540407ef305d684615609e.jpg
550a9cb89e3549f14ddd3fe1c19b41d9.jpg

NB.
mzee wa iphone7,ukitaka picha zaidi kuhusu vyakula vitamu vya dar,niambie.nita upload bila kinyongo.
 
unauliza kuhusu utafunaji wa miraa miongoni mwa vijana wengi wa kenya?.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
different types of delicious and healthy friendly local food in dar es salaam.
00bf612e2add7e4379ac562b96c711f3.jpg
88ba46942ec1f398f42b6ead0bd789d5.jpg
4ace4e5dc3f49fc39ff60aa2efe0dd2a.jpg
4ded047f4182994b1bcbdf5d1e68bca5.jpg
80208a7300b304d563ee0e151ea6ed8b.jpg
9b8dc701ac75ca09d21260b1810d7bcc.jpg
d4a7c23901ea4e53cc06060824ad46f1.jpg
0f17cd951717259907a8d49bd815bc1a.jpg
7f5202b5a21adc6e5688ed84bc8bd925.jpg
5ba81900117c496fb288e0be9f83c191.jpg
9ab818ad1ac8d029bf4a57e95f993716.jpg
4bc9e346aed26e61246cba5a22beb2a0.jpg
4d8800f0a5540407ef305d684615609e.jpg
550a9cb89e3549f14ddd3fe1c19b41d9.jpg

NB.
mzee wa iphone7,ukitaka picha zaidi kuhusu vyakula vitamu vya dar,niambie.nita upload bila kinyongo.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Unategemea form 4 leaver ateme yai gani?tena kajitahidi sana[emoji28][emoji28][emoji28]

Sio lazima ajue kila kitu kuimba yu inatosha na icho kipaji cha biashara
hauna aibu ukisema 'form 4 leaver' ??? karibu Kenya uone mtoto yuko baby class ushangae.
 
hauna aibu ukisema 'form 4 leaver' ??? karibu Kenya uone mtoto yuko baby class ushangae.
english siyo lugha yetu hvyo hata hiyo haibu hatuna .......kwanj hata hao wenye hiyo english hawakijui kiswahili....so acha ushamba.....

kwetu english si kitu....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Diamond angeshindwa kuzungumza kiswahili ningeshangaa lakini kingereza wala sishangai sababu sio lugha yetu .mbona hata ninyi kiswahili kinawapiga chenga kuanzia Uhuru na nguruwe wake
Kiswahili yenyewe ilianzia Kenya. kisha nyinyi (inferiors) mukatuigizia. bakini nayo basi. tumeinvent Sheng sasa. hatutaki kukuwa associated na inferiors
 
english siyo lugha yetu hvyo hata hiyo haibu hatuna .......kwanj hata hao wenye hiyo english hawakijui kiswahili....so acha ushamba.....

kwetu english si kitu....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
vizuri. kama hujui lugha wachana nayo... usilazimishe
 
Diamond angeshindwa kuzungumza kiswahili ningeshangaa lakini kingereza wala sishangai sababu sio lugha yetu .mbona hata ninyi kiswahili kinawapiga chenga kuanzia Uhuru na nguruwe wake
Wakenya wanajua kiswahili ni vile tunaongea sheng umeskia we dem
 
Kiswahili yenyewe ilianzia Kenya. kisha nyinyi (inferiors) mukatuigizia. bakini nayo basi. tumeinvent Sheng sasa. hatutaki kukuwa associated na inferiors
kama bibi yako alikianzisha kenya sawa
.......baki na makaratasi yako
 
vizuri. kama hujui lugha wachana nayo... usilazimishe
english kwetu si ya ulazima mbona uko mnakua nayo hafu kuna maboya wanaongea bloken kama kama....na machjzi wenu wanaoshinda dampo wanakiongea

hiyo ni lugha ya kawaida kama nyingine wasouth africa na egypt kuna jopo la watu wengi english hawajui acha utumwa acha ushamba....kijana haujabarehe nini
 
Back
Top Bottom