Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Hey, this one coming up in Mlolongo. Knightfrank is already leasing
baadhi ya wanahabari wenye asili ya tanzania wanaotangaza katika vyombo mbalimbali vya kimataifa.If Tanzanian Kiswahili ni bora, Mbona international swahili lecturers ni wakenya?
pia reporters wa BBC SWAHILI
Hilo sasa povu...punguza jazba.inama udungwe sindano.Tuseme wewe ni wakutoka mashambani, kule watu wanaenda kupiga picha kwenye studio ama vipi??

Hizo mahoteli nimeshinda nikiziona mkuu!! Wajua Nairobi tukasema kupiga picha hoteli mtachoka, ndio maana huwa tunaweka za eneo kubwa, kuchukua street nzima ama aerial photos!
Hamna lolote hapo Dar mkuu, mnaruhusa ya kuchanganya kila pembe TZ nzima mlete league na Nairobi
povuuuuuuHizo mahoteli nimeshinda nikiziona mkuu!! Wajua Nairobi tukasema kupiga picha hoteli mtachoka, ndio maana huwa tunaweka za eneo kubwa, kuchukua street nzima ama aerial photos!
Hamna lolote hapo Dar mkuu, mnaruhusa ya kuchanganya kila pembe TZ nzima mlete league na Nairobi
Sasa hoteli inatishia nani... Mnakuaga very shallow minded
In population.. HeheGuys, I'm a russian, I really dont understand your language, but I can hardly speak English. You must be comparing 2 cities. To my opinion Dar es salaam is far ahead of Nairobi.
Nawaza tu! whose economy will stuck or even perish one's Tz akifunga boder km alivyofanya Mwalimu halafu Tz tukafanya production zetu wenyewe bila kuwaleta jirani watengeneze na kutuuzia bidhaa tunazoweza kutengeneza wenyewe...Naendelea kuwaza siku ambayo Magazeti,Shooping mall's, Banks, Mobile phones company, Agricultural product's, Tourism business nk vyote vitakapomilikiwa na Watz kwa 100% and if not some % tupate wawekezaji wasio middlemen from jiran or fake Registered (abroad) company but owned by majirani wakitudanganya ni xxx from Uk,xxx from SA,xxx from whatever but ni matapeli from jirani and they feel proud of building their Nation from our back. Naendelea kuwaza jamani n i belive this day will come where jirani will thust for this beautiful market they always laughing,enjoying its cake while bluffing they are good ndugu's
sureGuys, I'm a russian, I really dont understand your language, but I can hardly speak English. You must be comparing 2 cities. To my opinion Dar es salaam is far ahead of Nairobi.
kwan unazopost wewe ni zile zile unazopost kila siku sijaona jengo jipya badoHizo mahoteli nimeshinda nikiziona mkuu!! Wajua Nairobi tukasema kupiga picha hoteli mtachoka, ndio maana huwa tunaweka za eneo kubwa, kuchukua street nzima ama aerial photos!
Hamna lolote hapo Dar mkuu, mnaruhusa ya kuchanganya kila pembe TZ nzima mlete league na Nairobi
baadhi ya wanahabari wenye asili ya tanzania wanaotangaza katika vyombo mbalimbali vya kimataifa.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:hivi kuna mtangazaji mkenya anayetangaza BBC,DW au VOA mwenye umaarufu mkubwa na followers wengi kwenye social media kama salim kikeke wa tanzania?.kama yupo leteni ushahidi hapa.
imagine hata Vincent makori mkenya anayetangaza VOA,mimi ambaye si mtangazaji wa redio au tv nimemzidi kwa followers maradufu.hii ni kuonyesha kwamba,your people who work for international media institutions ,are not popular.nobody knows them.
the only kenyan i knew back then was jeff koinange when was working as reporter for CNN.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()