Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani na ile kelele yote Kumbe ilikuwa tu ni toothless dog! In less than one month safari tayari imeshafika mwisho! Kweli Tanzania ni nchi ya viwonder. Naona sasa ikibeba tu mitungi za konyagi toka Dar kwenda mwanza

Na ile ya Mumbai imefika wapi? Ama bado inapumulia oxygen??

Advertisement

ATCL yasitisha safari za kwenda Afrika Kusini

Sunday October 6 2019

Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.

[https://www]

BY Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

ATCL yatangaza rasmi kusitisha safari za JohanessburgAfrika Kusini, abiria waliokuwa wamekata tiketi za safari ya kuanzia Oktoba 7, 2019 watarudishiwa nauli zao.

Advertisement

Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.

Taarifa iliyotolewa na ATCL Oktoba 3, 2019 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Ladislaus Matindi iliwaelekeza mawakala wa tiketi wote kurejesha nauli za wateja hao ambao tayari walikuwa wamekata tiketi.

“Sababu ni hiyo hiyo iliyoelezwa awali kama kungekuwa na nyingine tungeeleza na kama kutakuwa na la ziada tutaeleza hapo baadaye kama tulivyoeleza hili.”

“Lakini tunajipanga tukishakuwa vizuri tutarejea” alisema Matindi alipoulizwa jana Jumamosi Oktoba 5, 2019 endapo kuna sababu ya kusitishwa kwa safari hizo tofauti na ile ya awali.

ATCL ambayo ilikuwa ikifanya safari hiyo mara nne kwa wiki (Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili) iliacha kufanya safari kati ya miji hiyo Agosti 23,2019 baada ya ndege yake aina ya Airbus A220-300 kuzuiliwa katika uwanja wa Oliver Tambo jiji Johanessburg kwa amri ya mahakama kuu ya Guateng.Baada ya takribani wiki mbili ndege hiyo iliachiwa huru kwa uamuzi wa mahakama.

Awali, ilielezwa baada ya kuachiwa kwa ndege hiyo safari zingeanza mara moja lakini siku moja baadaye Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema Serikali imeamua kusitisha safari kwenda katika nchi hiyo kutokana machafuko yaliyokuwa yakiendelea dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika (Xenophibia).

Hata hivyo, kwa kipindi chote Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Ladislausi Matindi alikuwa akisema safari hizo ambazo awali alizitaja kama chanzo kikubwa cha mapato ya shirika hilo zingerejea baada ya kuweka mambo sawa.

Aidha tangu Agosti 23, 2019 ATCL imekuwa ikisafirisha abiria wake wa Johanessburg kwa kutumia ndege za mashirika mengine ikiwemo South African Airways, Kenya Airways, Rwanda Air na Mengine.
Nina dogo ana siku tatu toka asafiri tokea Mumbai by ATCL.

Povu jiiingi
 
Nyie endeleeni na porojo zenu za makaratasi wakati ukweli tuna uwona sote sisi.. wakenya mnaa shida. You guys keep on coming with the stats za wenye nazo kenya mkithani ni za kwenu 😂😂😂.. jamani zameni ktn, citizen muone wakenya wanavyo lalamika hali ni mbaya.. raisi wenu wenyewe sikuizi mna muona walele wale tu wala rusha.. lakini utamuona anaflex huko kwa wanachi wake maskini. Siongei tu zameni youtube afu muangalie ziara za Uhuru.. afu kaangalie comment, it’s sad. Afu namwona mkenya anakuja huku anakuja na stats za washua akithani zina mfadisha yeye 😂😂.. Kenyans bwana. Mimi Tanzanian nikwa na one dollar nakula milo mitatu kwa siku. Jee kenya ukiwa na only one dollar una kula ata mlo mmoja kweli 😂😂😂. Afu mna kuja apa na gdp zenu mkithani it’s a big deal. Wakenya ninarudia tena mnaa shida sana na mnalijua hilo na hamuwezi ni fananisha na watanzania.. sisi tunaishi kwa raha na I’m not make this up, that’s the honest truth.
Y’all be blessed ✊🏽😂
Mkuu nilishawahi kuwaambia hawa wakenya Tsh elfu kumi ina uwezo wa kununua matunda mengi mno ya kujaza fridge wakanibishia 😂😂😂
 
If your reason was to hold, I would expect to see at least one major Tanzanian company in Kenya. However, there's no so far which begs the question on what you meant by "Si watanzania tuna jiamini na tunajua tunaweza." Does it mean mnaweza kwa maneno? kwa sababu sisi tunasema na kutenda. Nikiwa Dar nilikuwa naona kampuni mob za kutoka SA na Kenya sijui shida ipo wapi kama si upungufu wa akili na bidii

😂😂😂😂 nyie watu sijui ata niwambie nini 😂😂😂.. y’all soo dumb.. sasa mnathani sisi kutokua na major big company kenya ndo hatuwezi na hatuna maeendeleo au 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️.nyie mme tangulia tu kuja huku. kwanza hizo ni private sectors it benefits them more than the countries it self. Watu wamekuja kutengeneza faida wewe..😂😂 unathani kwa bibi apo. Narudia tena “tuna jiamini na tunaweza!”na matunda yana onekana. Na nilisema hvyo kujibu swali na mjinga mmoja wa kenya ambaye alikua anaongelea maswala ya kushidana na soko la dunia. Kwaio mlitaka ni seme watanzania hatujiamini au😂😂😂. Na sikuizi we use our own products manufactured in Tz. Azam kwenye sector ya vyakula na vinywaji he got it covered.. mo deuji pia ana vitu vyake. We promote our own.. Vice versa for the Kenyans who uses outside products mkidai soko huria 😂😂😂 sasa kama huo sio ujinga one on one ni nini sasa .. eti maswala ya big companies ni Sawa na kuwa bash chinies kutokuwa na major big company in USA.. tf
 
Ndo maana mi nakwambia we akili yako ni ndogo sana!
Mimi nimekwambia KQ,rwandaair,na ATCL ni kampuni tatu tofauti,kila kampuni inaendesha shirika kwa kuzingatia mikakati ya shirika husika, ATCL wao wanaona south Africa hakuna usalama,wewe unasema mbona KQ na rwandaAir wanaenda?
Sasa KQ,rwandaAir wanahusiana vipi na ATCL???..KQ ndege zoooote wame-lease hata ikibomolewa huko sauzi,who cares??
Kweli mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Airlines from all over the world are going to South Africa lakini cha ajabu ni kwamba kwa ATCL Na Watanzania kwa jumla, hakuna usalama huko! After all the pomp and colour you treated us to mnafanya safari mbili tu kisha mnafunga virago! Aibu sana.
 
😂😂😂😂 nyie watu sijui ata niwambie nini 😂😂😂.. y’all soo dumb.. sasa mnathani sisi kutokua na major big company kenya ndo hatuwezi na hatuna maeendeleo au 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️.nyie mme tangulia tu kuja huku. kwanza hizo ni private sectors it benefits them more than the countries it self. Watu wamekuja kutengeneza faida wewe..😂😂 unathani kwa bibi apo. Narudia tena “tuna jiamini na tunaweza!”na matunda yana onekana. Na nilisema hvyo kujibu swali na mjinga mmoja wa kenya ambaye alikua anaongelea maswala ya kushidana na soko la dunia. Kwaio mlitaka ni seme watanzania hatujiamini au😂😂😂. Na sikuizi we use our own products manufactured in Tz. Azam kwenye sector ya vyakula na vinywaji he got it covered.. mo deuji pia ana vitu vyake. We promote our own.. Vice versa for the Kenyans who uses outside products mkidai soko huria 😂😂😂 sasa kama huo sio ujinga one on one ni nini sasa .. eti maswala ya big companies ni Sawa na kuwa bash chinies kutokuwa na major big company in USA.. tf
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realities
 
Mkuu nilishawahi kuwaambia hawa wakenya Tsh elfu kumi ina uwezo wa kununua matunda mengi mno ya kujaza fridge wakanibishia 😂😂😂
Ndugu yangu, pesa yenu ya madafu haina thamani huku hata siku moja so wacha kujibamba na maneno hayana maana
 
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realities

Yoo we ndo upo kwenye utopia yako..😂😂😂😂😂.. viberiti mo Deuji got us covered tho sikuizi watu wengi wanatumia majiko ya gesi.. chumvi ndo usionge kabisa toka nipo mtoto chumvi tuna tumia za kwetu... sukari tuna mshukuru kilombero 😂😂.. we una sema nini wewe. Njoo uone sio una ongea tu apo... we jama weee ni muoongooo😂😂😂😂😂nisha kuambia acha hunielewagi.. na tuta elewana tu
 
Usiwe unaangaika kuwajibu hizo mtu zenye uwezo mdogo wa kufikiri 😂😂😂 siku hizi nawa ignore wabaki kuamini ujinga wao.
 
Ndugu yangu, pesa yenu ya madafu haina thamani huku hata siku moja so wacha kujibamba na maneno hayana maana

Ina thamani kwetu boya wewe 😂😂😂😂😂😂.. we currency ya china imepitwa kwa thamani na nchi nyingi tu lakini it’s the second if not the first powerful and leading country in the world... we jama wewe😂😂😂.,. you so dumb broo na kingine uwache uwongo ndo ninacho sisitizia sana 😂😂😂
 
Ndo maana mi nakwambia we akili yako ni ndogo sana!
Mimi nimekwambia KQ,rwandaair,na ATCL ni kampuni tatu tofauti,kila kampuni inaendesha shirika kwa kuzingatia mikakati ya shirika husika, ATCL wao wanaona south Africa hakuna usalama,wewe unasema mbona KQ na rwandaAir wanaenda?
Sasa KQ,rwandaAir wanahusiana vipi na ATCL???..KQ ndege zoooote wame-lease hata ikibomolewa huko sauzi,who cares??

Kiongozi nashukuru 😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽.. sijui ni nini wasicho elewa lakini ndo hvyo tena. Tusiwalaumu pengine sio makosa yao
 
We bwege tuna chumvi zetu na viberiti vyetu, ata hvyo skuiz watz wanatumia gesi
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realities
 
Wasikieni wenzenu hao.. afu mnakuja huku mnajimwaga na gdp 😂.. hali Nguma kenya huko.. na atakama mnataka kuji employee mta anzia wapi.. mali za nchi zimeshikiliwa na watu wachahe.. shauri ya capitalism..angalau government ingekuwa ya ujama kama Tz kungekuwa na room of adjustment lakini inchi yote imeshililwa na mabepari... that’s why it’s soo expensive out there. You got to have a job to keep up with the situation.. na jobs ndo hvyo zina kata kila kukicha...🤦🏾‍♂️ ki ukweli una anzia wapi 😕.. unajua nyie ni majirani zetu saa nyingine niki kaa nikifikira it’s soo sad.. and I’m serious. I hope things turn out okay for you guys and I’m being genuine about it. Msithani tuna wasema wala nini ni ushindani tu 😂
 
Yoo we ndo upo kwenye utopia yako..😂😂😂😂😂.. viberiti mo Deuji got us covered tho sikuizi watu wengi wanatumia majiko ya gesi.. chumvi ndo usionge kabisa toka nipo mtoto chumvi tuna tumia za kwetu... sukari tuna mshukuru kilombero 😂😂.. we una sema nini wewe. Njoo uone sio una ongea tu apo... we jama weee ni muoongooo😂😂😂😂😂nisha kuambia acha hunielewagi.. na tuta elewana tu
Did you do literature in high school? I used those items (chumvi na viberiti) as symbolism to mean that you still import even the most basic of things. Sadly, you've taken it so literally. Tanzania still imports most of the things used in everyday life so stop this arrogance you are displaying here.
 
Ina thamani kwetu boya wewe 😂😂😂😂😂😂.. we currency ya china imepitwa kwa thamani na nchi nyingi tu lakini it’s the second if not the first powerful and leading country in the world... we jama wewe😂😂😂.,. you so dumb broo na kingine uwache uwongo ndo ninacho sisitizia sana 😂😂😂
Look at the way you are eating your own words! If you knew it's not about currency strength then why did you say you can buy more with TSH 20,000 than an average Kenyan would? It's about the price of goods and services, not currency strength. One item could be cheaper in Kenya but expensive in Tanzania and vice-versa
 
Jacaranda Gardens estate, Kahawa West
Screenshot_20191007-192200.png
Screenshot_20191007-192502.png
Screenshot_20191007-192419.png
Screenshot_20191007-191949.png
Screenshot_20191007-191830.png
FetchImage (13).jpeg
e299cb54db322d84120420fa6915b89a.jpg
DSC_0625-600x400.jpg
CrFo-h8XYAAkKeh (1).jpg
Jacaranda-Gardens.jpg
DSC_0621-600x400.jpg
 
Look at the way you are eating your own words! If you knew it's not about currency strength then why did you say you can buy more with TSH 20,000 than an average Kenyan would? It's about the price of goods and services, not currency strength. One item could be cheaper in Kenya but expensive in Tanzania and vice-versa

As I said you dumb broo😂😂😂.. I’m talking about dollar we una niletea maswala ya Tanzanian shillings and Kenyan.. “One item could be cheaper in Kenya but expensive in Tanzania and vice-versa” this applies kama tuna uziana products baina ya Tanzanian na kenya. Kwaio unacho kisema ni Irrelevant jomba. Sisi tuna ongelea dollar.. sisi watanzania 1 dollar is enough to feed us for a day but upande wa pili Kwa wakenya wenzetu a dollar hupati ata mlo mmoja... sasa we tafakari 😂😂😂
 
Back
Top Bottom