Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani maskini wa tz anakushangaza adi wew kwamba anaweza miliki nyumba, ila maskini wenu anamiliki mabati
Kama hizo ndio nyumba za masikini Dar then people must be so poor in Dar coz 80% of your city looks exactly like that. And you still wonder why Nairobi is richer!
 
Capable? Hiyo ni illumination ya rangi tu mkenya, hata ukuta wa nyumbani kwako unaweza ukaufanya hivyo ukitaka elimikeni jamani.
It's technology my friend. If it were that easy as you imply, every building would be having it
 
Si ushabiki wa kijinga. yetu ni kuwakumbusha kuwa Kenya ndio pacesetters kwa huu ukanda. Jambo ambalo hamtaki kuamini na kujibu kwa matusi ama kusema "dar is better than Nairobi." Hiyo ndio tutaita "ushabiki wa kijinga" ambayo haimbatani na facts wala reason bali ni chuki na wivu tu. Hizo video niweka hapo kwa kuwa ulimjibu mwenzetu kwa dharau ndiposa nikakuuliza kama mmetekeleza hiyo teknolojia kwa kuwa Nairobi iko nazo kwa gorofa kadhaa. Using LEDs and projectors to illuminate buildings on that scale is a relatively new concept not just in EA but across the world. Leave alone kutengeza uniforms patterns. It removes the dullness of cities at night kwa hivyo ni jambo la kujivunia.
Mimi huwa niko objective sana kwa vile naangalia mambo. Najua Dar vizuri sana na napenda organization na utu ambao uko huko. You have very beautiful new buildings, music, food and women. Najua Dar pia itaja kuwa tajiri sana kwenye miaka inayokuja. Also, kumbuka pia tables turn ikifika kwa economics, kesho twaeza amka tupate currency yetu na GDP imeanguka kwa asilimia kubwa na nyinyi mbaki sawa. Lakini in the meantime, let us brag na nyinyi mkubali kuwa miundu msingi yetu iko international level na ni waAfrika ambao wana enjoy bali si wazungu, hata kama kuna 20+ slums ndani ya mji. Na pia mkubali kuwa Dar na Mombasa hazijaachana kwa mbali. Mko ligi moja kwa sasa bali si na Nairobi.
Huyo mwenzenu unayemzungumzia ni yupi? Nixcie? lol, sitawahi kumjibu vizuri huyo mbwa aliyekosa mfugaji. Na ninaheshimu upendo ulionao kwa waafrika wenzako lakini kulinganisha Dar na mombasa unakosea tena sana.
DupDh27WkAAU3dw.jpg
29985341264_b68c7ae593_h - Copy.jpg
A29E0C1F-7C22-46B6-BD45-8054C92CAD91.jpeg
bongo100.jpg
C54664A6-6A60-42E8-A89A-1A0BE7388BEA.jpeg
D1C-eMVWsAAEYlo.jpg
D1dul1CX4AARsmA.jpg
D1dunlSW0AAMdXm.jpg
Dldg9EAXgAAehXm.jpg
DyjbWtxXgAAe3kk.jpg
IMG_6751.JPG
IMG_20160718_210904_164.JPG
Subpost 2 - - city- daressalaam- tanzania- africa- africannature- africa-%2.. (1).jpeg
 
Kama hizo ndio nyumba za masikini Dar then people must be so poor in Dar coz 80% of your city looks exactly like that. And you still wonder why Nairobi is richer!
Ahahaha yeah unaongea sana kijna, ulisema jangwani pako hvyo ukapewa picha ya jangwani pamevunjwa hamna kitu, ukasema kijitonyama mim nilikuletea picha mbili za chini na juu kukuonyesha kijito nyama mpya, juzi ulipewa video ya mtoni kijichi mpya ilokarabatiwa vizur na nyumba za maana ukaanza tetema na sasa natafuta picha ya tandale uone tandale inavyobomolewa na kukarabatiwa ujue kuwa dar haipo hvi, so mapicha yako ya 80s baki nayo. Sibishani na wew tena mzee amini unachokiamini sis tunakarabati nyie ongezeni slums
 
Ahahaha yeah unaongea sana kijna, ulisema jangwani pako hvyo ukapewa picha ya jangwani pamevunjwa hamna kitu, ukasema kijitonyama mim nilikuletea picha mbili za chini na juu kukuonyesha kijito nyama mpya, juzi ulipewa video ya mtoni kijichi mpya ilokarabatiwa vizur na nyumba za maana ukaanza tetema na sasa natafuta picha ya tandale uone tandale inavyobomolewa na kukarabatiwa ujue kuwa dar haipo hvi, so mapicha yako ya 80s baki nayo. Sibishani na wew tena mzee amini unachokiamini sis tunakarabati nyie ongezeni slums
Of course zinabomolewa tu kwa akili zenu coz google earth images show a totally different thing .... Dar 80% ni dream houses tu, hakuna jipya. Ama zilianza kubomolewa jana? So google earth inaonyesha picha za 80s? 😂 😂 Being a danganyikan in a big disease
 
Who cares abt google earth? Tumekuletea live and clear images and videos. So amini mambo ya kufikirika au reality tulokuonesha hapa bila chenga its up to you
Of course zinabomolewa tu kwa akili zenu coz google earth images show a totally different thing .... Dar 80% ni dream houses tu, hakuna jipya. Ama zilianza kubomolewa jana? So google earth inaonyesha picha za 80s? Being a danganyikan in a big disease
 
Who cares abt google earth? Tumekuletea live and clear images and videos. So amini mambo ya kufikirika au reality tulokuonesha hapa bila chenga its up to you
So google earth sio reality 😂 😂 😂
 
Any reputable forum around the world huwa watu wana compare notes kwa kuwa waeza pata mahali ambapo wanakosea ama kuona mahali ambapo they're on a good track. Na pia kuweza kuulizia majibu ya mambo ambayo hawaelewi. Lakini mkibashana tu unadhani tutaeza aje pogress ama itakuwa kujaribu kuvutana chini? kitu ambacho tunajua vizuri "there's power in unity" na pia "when you run alone, you run fast, but when you run with other people, you run far." For instance, you're in a hurry to build an SGR to win over Kenya's business from C. Afrika. Same goes for airlines; they're becoming too many and the worst thing is that they're being supported by governments instead of bringing revenues to the governent. We seem to forget a simple business principle of "economies of scale." We might think that we are progressing, lakini its simply the foreigners who are trying to make the movements of their products and business more efficient throughout the African continent. Kwa mfano, mbona wanatupa loans na bado wanaleta imports zinazouwa viwanda vyetu? wanasema huezi kuingia soko zao bila kupartner na local companies but wanatilt deal to their favor, yet wanakuja hapa na kutupatia a token of what they take back. Tunafaa kujiuliza vipi tutatua mambo kama hayo kwa ukanda wetu bali si ubishi.
Du msaafu 🏃
 
Tunaongelea Dar wewe unatuletea mambo ya Mombasa...😂😂😂 Hii ni Dodoma...Utaongoza Africa mashariki na kati kwa ukubwa😂😂😂👇👇👇
IMG_20191003_231210.jpg
IMG_20191003_231330.jpg
 
Back
Top Bottom