Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Shida yenu ni kusema "pia sis tuaneza fanya hivyo" lakini hakuna siku mshawahi fanya. Hii technology ni geni kwenu, kuja Nairobi usiku uone vile buildings zinaglow. Hapa ni Tokyo babaaa
Kuna ushabiki wa kijinga ulionao kichwani ambao lazima nikwambie. Nimemuelimisha kondoo wenu kuwa that is not the only building capable of being illuminated that way in East Africa halafu wewe unakuja na jazba zako kuniambia kuwa hatuna teknolojia ya kufanya vivyo hivyo. Usijiaibishe tafadhali! hata kama sikufahamu lakini kwa mtazamo wangu nadhani nimeona maghorofa marefu yakiwa illuminated kabla yako na haimaanishi kuwa Tanzania hatuwezi kufanya hivyo. Na hata hivyo, how does illumination make nairobi any better? inaongeza nini au kupunguza nini? acheni USHAMBA!



