Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ur tax revenue has never hit Tshs 30tr ! That's the budget! budget is usually tax revenue collection plus other non tax revenues plus grants and loans! Fool get to know what a budget consist of!
Boss Kenya budget ni ,$30bln which is about tzsh 66trln wacha upumba geza
 
Tatizo wewe unarudia rudia picha wewe mwenyewe siyo tu kwamba wakenya Wawili wamerudia jengo moja wewe kila siku unapost picha hizohizo
Wewe nionyeshe picha mpya umeupload hapa ndani that has never been uploaded
 
Dah haya mabasi ama mabanda ya bata!!
 
Huyo jamaa kwa marudio ya picha ni number mojaπŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu picha anazo weka azina hata mvuto...Nikama hana mb za ku download picha mpya..
Hazina mvuto kama hizi dream houses πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yeah ndio nilisoma hiyo tweet vibaya,but bado collection ya mwaka hamtufikii na mko na bigger population kutushinda plus unemployment yenu ni "2%" kulingana na ccm
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Eti Kulingana na CCM!
 
Ur tax revenue has never hit Tshs 30tr ! That's the budget! budget is usually tax revenue collection plus other non tax revenues plus grants and loans! Fool get to know what a budget consist of!
It's already 1.6 trillion kenya shillings (that's 32 trillion shillings pesa za madafu)
 
Hazina mvuto kama hizi dream houses πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 1221951View attachment 1221953
Baadae usiseme usiku mwema. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Zoom hivi kama mimiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1.Kibera slum city of Nairobi
2.Mathare Valley slum city of Nairobi
3.Dandora slum city of Nairobi
4.Kawangware slum city of Nairobi
5.Korogosho slum city of Nairobi
6.Mukuru kwa Njenga slum city of Nairobi
Niendeleee nipeni jibu..??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Unalinganisha dream houses zenu na slums. kweli Dar hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…