tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nilipita hapo jana kulikua na shangwe balaa
Nilipita hapo jana kulikua na shangwe balaa
Kunaiva vizur,barabara za kuingia sinza kutoka sam nujoma wanazifumua sahv zinatulizwa mshono...Mlimani Tower inapendeza. Sam Nujoma road inaelekea kuja kuwa CBD badae

Inside NAIROBI KENYA...
si kibera pekee bali kuna chaka bovu za kutosha watu wanaishi maisha ya dampoView attachment 1218621View attachment 1218622View attachment 1218625View attachment 1218626View attachment 1218628View attachment 1218629View attachment 1218630View attachment 1218633View attachment 1218634
hapana hapo ni nairobi tokyo....Em acha utani bhna, hapa ni nairobi ulaya ya Africa?![]()

Lo magari yanayozoa taka yenyewe ni taka 😂Inside NAIROBI KENYA...
si kibera pekee bali kuna chaka bovu za kutosha watu wanaishi maisha ya dampoView attachment 1218621View attachment 1218622View attachment 1218625View attachment 1218626View attachment 1218628View attachment 1218629View attachment 1218630View attachment 1218633View attachment 1218634
), A 500 beds Referal Hospital Pemba imekaa poa!Mimi ndo ningekuwa Dk. Salim, ningewaomba hao wachina watengeneze kitu nchini na waiite kwa jina lake kama zawad kwa watanzania au kumbukumbu yake ya kudumu nchini (Rais wao ni mwelewa),
mfano Hospitali kwa jina la Dk. Salim Hospital,
Daraja kwa jina la Dk. Salim Bridge au
uwanja wa mpira kwa jina la Dk. Salim Stadium or anything else
yaaani hawa ni wapuuzi wakupindukia......halafu linakuja jitu linakujaa kujiita hapa kuwa wao ni middle economyLo magari yanayozoa taka yenyewe ni taka![]()

kaka waache hawakawii kuja na mabox yao yale yaliyofanana maana hapo ndipo walipoishia ......Nyumba za Watanzania kwenye ardhi yao wanayoimiliki. Kuna mwenye tatizo huko???View attachment 1218915View attachment 1218916View attachment 1218917View attachment 1218918View attachment 1218919View attachment 1218920View attachment 1218921View attachment 1218922