Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Yani mpaka sasa nawashangaa wakenya wanavyoshindana na sisi kwa maana naona wanabishana na ukweli.
Ili kenya apige hatua inabidi haondoe hao wakora waliojazana na wenye tamaa za kumiliki kipande kikubwa cha ardhi huku wakenya wachache ambao ni choka mbaya wakiishia kupanga kwenye apartment za kibera mathare nk.yani hapo ndipo nashangaa ndugu zetu hawa kenya unakuta hawana mamlaka ya kumiliki ardhi kwa sababu ya watu wachache wanaomiliki sehemu kubwa ya ardhi.
Ndo maana hata mhe.kikwete alikataa kushirikiana na wakenya kwenye sekta ya ardhi aliona wakenya wengi hao hawana ardhi.
Badilikeni jamani na muache ukabila(wakamba,wakikuyu na wajaluo nk )mmeendekeza sana ukabila hati bila raisi kuwa mjaluo huwezi mpigia kura coz sio mjaluo