Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiku mwema wadau. Mnapoingia kupumzika usiku hu, naomba Mungu awajalie na ndoto njema ndani ya hizo dream houses
 
Tena video ya juzi kabisa hii, hataki kuangalia
Nimesema niachieni mimi...Kwa sasa mimi nipo free for the all two weeks nakula Chicken ambae ni adimu Nairobi kuliwa...😂😂😂👇👇👇
Screenshot_20190924-200117.png
 
kweli ni huzuni halafu wanakuja hapa wanajiiita middle economy wakati hata ujenzi tu wako sifuri.....mpaka wajengewe na white people na hapo bado yataanguka nakuanguka zaidi
maana quality zao ni hizi tungojee maafa zaidi
yaani kwa ujenzi wa takataka kama hizi NAIROBI itaporomoka kila siku
huu ni ujenzi ulio chini ya kiwango kabisa...tukisema Tz tujenge uchafu wa low quality kama mfanyavyo nyie in 5years tutajaza estate nchi nzima
huu ni uchafu
View attachment 1214565View attachment 1214566View attachment 1214567View attachment 1214568
Wakenya wanategemea chun chin aje ajenge ghorofa hapo nairobi,lakini wao hujenga vituko hata finishing huwa hawafanyi yaani ni kama serikali hakuna vile..
 
Mitaa nimekuonyesha ni mitaa za eastlands where the majority of Nairobians live. The houses are 100% owned by hardworking Kenyans. So your point is misplaced. Na hakuna mahali nimesema Nairobi haina life ya chini. Zipo maeneo ya life ya chini tena mingi ila tunakubali tunazo sio kama nyinyi mnaokana na kusema hamna slums wakati nusu ya jiji lenu limenyongwa na uswazi. Hiyo ndio tofauti yenu nasi. And for the second time, hizo nyumba zinamiliki na wakenya na makampuni za Kenya 100%
Ubaya wenu wakenya mnafananisha nairobi city center kwa dar nzima yani kama vle cc hatuna cty cnta? Afu mnaenda kuokoteza vinyumba vya washua mnafananisha na kariakoo akat kila sehem wahua na nyumba zipo, viestates vipo. Fananisha nairobi nzima kama mkoa which includes both the poor na slums zote kama unavoichimbua dar yetu faar from the city center adi mbagala uko nje ya mji. hzo sehem unazotaja uswazi zipo mbali na city center kak
 
Wacha uongo wa mchana wewe .Hii picha hapa chini inaonyesha Dar city center ilivyo ave you no shame whatsoever ?
V2KFif0.png
 
Back
Top Bottom