Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unateseka kinoma hadi nakuonea huruma
Kijana ya natural calamity.
 
Angalia video ya yale maeneo ambayo huwa unaokota okota aerial view zake sasa angalia hali ikoje
Tena huu ni mtaa wa raia wa kawaida tu,
Nitakuomba na mimi uniletee mitaa ya raia ya kawaida huko.

Kuna mmoja wenu alileta hiyo picha ya Kwanza nikamwambia aniletee picha za nyuma ya hizo buildings. Sijamuona tena!
 
Compare and contrast
Sa(1).jpg
NairobiSouth.jpg
aerialviewofsuburbsofnairobikenyapictureid621191832.jpg
MG301672.jpg
zXR7g7VaJi7vpOoh9tiOA8mSJLODjl1wG3XgKCP3VpD81uNej9yiX0NoenckEClnWO9IS9kWjEo4r3BsBMq3Mz9Sgs512.jpg
6NewKenyaSlide018a.jpg
nairobi610x400.jpg
downloadfile(1).jpg
nairobikenyaaerialviewcityscapeaffluentdistrict124297467.jpg
wdpzb5679295608201.jpg
p05tyjg5.jpg
aerialcityscapenairobikenyaaffluentdistrict124297692.jpg
69300345873df4b1ddd4b(1).jpg
images(14).jpg
PhotoGrid_1569321916348.jpg
 
Kufikia 2020 mwezi wa kumi kutakuwa na Airbus 220-300 zitakuwa 6
Zilizopo mbili
Zinazotengenezwa mbili
Zilizowekewa sign juzi mbili.
View attachment 1214930

MASAHIHISHO

hizo Airbus mbili bado hazijatengenezwa. Zimetiwa sain kwanza za manunuzi.

Hiyo inayoonekana kweny picha hapo uliyopost ni Dreamliner ambayo itakuja November au December mwaka huu.

Pia kuna Dash 8-Q400 mbili zimeshalipiwa na kutengenezwa, hizi nazo ndo zinakuja October au November mwaka huu. NB: Ni vile tu hii kampuni ya Canada haitoi updates mitandaoni.. ndo mana unaona kimya

Angalia haya maelezo
IMG_1569324676.379208.jpg
 
Tanzania tukifikia level hii nahama nchi...😂😂😂👇👇👇
slum+px+px+px.jpg
 
Back
Top Bottom