Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha uongo wa mchana wewe .Hii picha hapa chini inaonyesha Dar city center ilivyo ave you no shame whatsoever ?
V2KFif0.png
Huoni kwamba kuna nyumba imevunjwa ku-clear the site?
 
Ubaya wenu wakenya mnafananisha nairobi city center kwa dar nzima yani kama vle cc hatuna cty cnta? Afu mnaenda kuokoteza vinyumba vya washua mnafananisha na kariakoo akat kila sehem wahua na nyumba zipo, viestates vipo. Fananisha nairobi nzima kama mkoa which includes both the poor na slums zote kama unavoichimbua dar yetu faar from the city center adi mbagala uko nje ya mji. hzo sehem unazotaja uswazi zipo mbali na city center kak
Kwanza unafaa ufahamu kwamba Dar size yake ni mara mbili ya Nairobi so picha tunazoleta ni za Nairobi administrative area. Licha ya hayo, Nairobi has outgrown its boundaries and now includes the neighbouring counties of Machakos, Kajiado and Kiambu to form one big metropolis. Ubaya tukianza kuleta picha za Syokimau kwa mfano, mtaanza kusema tunaleta picha kutoka nje ya Nairobi ukizingiatia kwamba Syokimau falls under machokas but is part of the metropolis (Syokimau is just next to JKIA)

On the other hand, picha za Dar tunazoleta are within the administrative boundaries of Dar so wacha kulia. Picha za dream houses tutaendelea kuleta tu kwa sababu ziko Dar. Hata nyinyi endeleeni kuleta za kibera kwa sababu kibera iko ndani ya Nairobi
 
Hakuna nyumba imevunjwa hapo. Ubaya wenu ni kukana uozo wenu but mko wepesi sana kuonyesha za watu wengine. Yani hadi vitu za wazi mnapinga tu!
hapo mambo yashabadilika mzee.......usiwe na akili ya kuku
 
Kwanza unafaa ufahamu kwamba Dar size yake ni mara mbili ya Nairobi so picha tunazoleta ni za Nairobi administrative area. Licha ya hayo, Nairobi has outgrown its boundaries and now includes the neighbouring counties of Machakos, Kajiado and Kiambu to form one big metropolis. Ubaya tukianza kuleta picha za Syokimau kwa mfano, mtaanza kusema tunaleta picha kutoka nje ya Nairobi ukizingiatia kwamba Syokimau falls under machokas but is part of the metropolis (Syokimau is just next to JKIA)

On the other hand, picha za Dar tunazoleta are within the administrative boundaries of Dar so wacha kulia. Picha za dream houses tutaendelea kuleta tu kwa sababu ziko Dar. Hata nyinyi endeleeni kuleta za kibera kwa sababu kibera iko ndani ya Nairobi
Sawa, ila msituletee mapicha ya 90s kama mnavyofanyaga. Tuleteeni vitu current na sis tuwashushie vitu current. By the way dar ni nzur bila make up unlike nairobi bila kupga pcha usiku na podapoda kdgo mambo hayaendi
 
ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom