Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dawa imekuingia vizuri sana sasa imebaki tu ukitoa povu. You are still showing us kibera. Thanks for letting us know that Dar is slum equals kibera 😂 😂 😂
Vijana wa dream houses ndani mambo kweli
You want us to afford this takataka👇👇👇We are beyond this level...😂😂😂
Screenshot_20190924-160230.png
 
Tatzo lako we jamaa unajifanya kama nairobi hamna maisha ya chini kuonesha estates za watu matajiri ambao wengi ni wageni wakati wakenya wana hali mbaya na kuna familia duni nyingi
Mitaa nimekuonyesha ni mitaa za eastlands where the majority of Nairobians live. The houses are 100% owned by hardworking Kenyans. So your point is misplaced. Na hakuna mahali nimesema Nairobi haina life ya chini. Zipo maeneo ya life ya chini tena mingi ila tunakubali tunazo sio kama nyinyi mnaokana na kusema hamna slums wakati nusu ya jiji lenu limenyongwa na uswazi. Hiyo ndio tofauti yenu nasi. And for the second time, hizo nyumba zinamiliki na wakenya na makampuni za Kenya 100%
 
Hard working Kenyans😂😂😂👇👇👇 Wa wapi hao hardworking Kenyans🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20190924-202547.png
 
Atakuonyesha vipi wakati yupo anapambana na bed bugs za matatu huku akipata free wifi...😂😂😂🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 1215275
😂 😂 😂 kweli umeishiwa.... Na vile ulijigamva Na kutambua wenzako watched ideal nami!! Kumbe zilikuwa tu kelele za chura. Ona vile unatapatapa sasa!
 
Dawa yako hii hapa kwenye video

Mitaa nimekuonyesha ni mitaa za eastlands where the majority of Nairobians live. The houses are 100% owned by hardworking Kenyans. So your point is misplaced. Na hakuna mahali nimesema Nairobi haina life ya chini. Zipo maeneo ya life ya chini tena mingi ila tunakubali tunazo sio kama nyinyi mnaokana na kusema hamna slums wakati nusu ya jiji lenu limenyongwa na uswazi. Hiyo ndio tofauti yenu nasi. And for the second time, hizo nyumba zinamiliki na wakenya na makampuni za Kenya 100%
 
Hard working Kenyans😂😂😂👇👇👇 Wa wapi hao hardworking Kenyans🤣🤣🤣🤣View attachment 1215284
Despite that, we still have more millionaires than yours truly. we still have a much bigger economy (almost twice your economy). We still have the biggest middle-class in the region. We still have the best manpower in the region. The still have the most important city this side of the Sahara. I can go on and on and on. Now I believe you know what I mean when I say that
 
😂 😂 😂 kweli umeishiwa.... Na vile ulijigamva Na kutambua wenzako watched ideal nami!! Kumbe zilikuwa tu kelele za chura. Ona vile unatapatapa sasa!
Naona sindano ilivyo kuingia vizuri😂😂😂 Na kwa taarifa yako hizi ndo dream houses za Dar...😂😂😂👇👇👇 Kajipange upya..
Screenshot_20190924-201943.png
Screenshot_20190924-202004.png
3f6fc4265342a64abf5dfb7755227c8568a35a10.jpeg
Screenshot_20190924-202051.png
Screenshot_20190924-202113.png
Screenshot_20190924-202134.png
Screenshot_20190924-202230.png
Screenshot_20190924-202311.png
 
Attachments

  • Screenshot_20190924-202324.png
    Screenshot_20190924-202324.png
    154.3 KB · Views: 22
Despite that, we still have more millionaires than yours truly. we still have a much bigger economy (almost twice your economy). We still have the biggest middle-class in the region. We still have the best manpower in the region. The still have the most important city this side of the Sahara. I can go on and on and on. Now I believe you know what I mean when I say that
Millioners are the foreighn investors...😂😂😂😂👇👇👇Nigerians and Chinese😂😂😂
bd2-Cropped.png

Chinese at work 😂😂😂👇👇👇
 
Back
Top Bottom