aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Hayo ndio maajabu yenyewejambo la kufurahisha na kustaajibisha pia ni kwamba,licha ya kwamba pwani ya kenya inatajwa kuwa ndio chimbuko la kiswahili,vijana wanye asili ya eneo hilo nao pia wanaiga kuzungumza kiswahili kinachozungumzwa na vijana wa dar es salaam tanzania.
hili jambo hunishangaza sana.
