Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bongo
tanzania-dar-es-salaam-azania-front-lutheran-church-with-harbor-in-picture-id694022723
 
ulielewa nilicho kizungumza au umekurupuka?.

career ya u-journalism,tv/redio reporting siku zote inaendana na u-celebrity kwa muhusika kwa sababu mazingira yake ya utendaji kazi yanamfanya mtu kuwa katika spotlight mda wote.

sasa nikauliza,katika hao journalist wenyu wengi ambao wapo ktk hiyo international scene kwa kufanya kwao kazi,BBC,CNN,DW,aljazeera nk,kwa wakati huu kuna anayemfikia kwa umaarufu salim kikeke wa tz anayefanyia kazi BBC?.

kuna anayemzidi salim kikeke kwa kuwa na idadi kubwa ya followers kwenye social media?.
kama yupo leta uthibitisho hapa.acha kupiga porojo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
44c1cccda4cd8309d84c8baba09f849d.jpg

I hope umetosheka sasa, nilikushow ni wengi.
Edith kimani   Edith_kimani    Twitter.png
James Smart   jamessmat    Twitter.png
 
ulielewa nilicho kizungumza au umekurupuka?.

career ya u-journalism,tv/redio reporting siku zote inaendana na u-celebrity kwa muhusika kwa sababu mazingira yake ya utendaji kazi yanamfanya mtu kuwa katika spotlight mda wote.

sasa nikauliza,katika hao journalist wenyu wengi ambao wapo ktk hiyo international scene kwa kufanya kwao kazi,BBC,CNN,DW,aljazeera nk,kwa wakati huu kuna anayemfikia kwa umaarufu salim kikeke wa tz anayefanyia kazi BBC?.

kuna anayemzidi salim kikeke kwa kuwa na idadi kubwa ya followers kwenye social media?.
kama yupo leta uthibitisho hapa.acha kupiga porojo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
44c1cccda4cd8309d84c8baba09f849d.jpg
Sasa kama unawajua majournalist wote inaonyesha Si wengi
 
Naona kukosa form hapa..afadali mtume cbd tuu izi hotel zinakaa lamuu na viakula ni upuzi kuziweka huku
Povuuuuuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahahahahaha hadi unatuma picha ya food msee???????? Iyo ni kukosa form...tutumie super highways hapa na suburbs tukutii....mahoteli za pwani ata inalemea hizo
 
Back
Top Bottom