Picha za Nairobi ikishaweka huo mnara wa Babel unaaribu kila kitu ugly building half building half antenna

Picha za Nairobi ikishaweka huo mnara wa Babel unaaribu kila kitu ugly building half building half antenna![]()
![]()
![]()
Just shut up once and for all
Nairobi
View attachment 510111
this is the bazaar plaza, hosts my school, Moi University nairobi. the university is planning to put up a skyscraper at its plot-0.6 acres Utalii Street/ Uhuru Highway right next to laico regency. initially was to be 26 storey but scaled up to 44. not yet approved but coming soon![]()
![]()
jambo la kufurahisha na kustaajibisha pia ni kwamba,licha ya kwamba pwani ya kenya inatajwa kuwa ndio chimbuko la kiswahili,vijana wanye asili ya eneo hilo nao pia wanaiga kuzungumza kiswahili kinachozungumzwa na vijana wa dar es salaam tanzania.
hili jambo hunishangaza sana.