Km hzo ni standard kw tanzania...basi sawa ...na hizi za kibera tuziitejeView attachment 1209812
Hao wanao ishi humo siyo wana kibera huoni wanamiliki hata magariHzo n apartment ila tofaut na hyo n vbanda vtupu na hata ukja dar utakutan na apartment uswaz ila cio vbanda
Ile mihogo ya coco sijui wanatumia uchawi gani kuikaanga ni mitamu balaaHope kitatoka kitu cha maana, on April mambo yatakua bam bam
Uzuri Dar Beach ni nyingi, tutahamia Kawe beach, Mikadi, Kipepeo na zingine za Kigamboni....
Mwanzo wa kufufuka kwa Msasani Beach
Hii pia ni challenge kwa wenye Malls, coz siku za sikukuu siku hizi kunakua na nyomi sana za watu kwenye Malls za Dar kibaya ni kwamba Malls ziko chache af kingine we've no more open spaces for enjoyment
Mihogo ya Coco tutaipata wapi sijui [emoji134]
Weka hapa na sisi tuione sema wasafishe ndani ya maji na kumwaga mchanga mweupe wasije jenga nje tuHapo kunajengwa bonge la Beaches mithili ya copacabana, nimeona features zake ni balaa, kutakuwa na waterparks kubwa za kutisha, restaurants, public showers, different sports complexes, parking za kutosha na facilities nyingi
Kwenye maji napo watalekebisha Kwa kuondoa maukoko na kumwaha mchanga mweupe ndaniIpo kwenye pamphlet bado haijatengenezewa digital rendering
wanaipikaa uchiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ile mihogo ya coco sijui wanatumia uchawi gani kuikaanga ni mitamu balaa
Uzembe pumbavuu sana sijui kama ni mainjinia wenye ujuzi wa fukwe za burudani au ni maijinia wa kuchimba makaburi maana tunataka hiyo fukwe isafishe hadi maukoko ndani ya maji na kumwagwa mchanga safi mweupe majini si vinginevyoYaani magreda yako site picha hata hawazitoi!
Ile unachimba mchanga baharini halafu una uleta nje, ile sehemu iliyo kua na majani kote kujae mchanga kama copa cabana. Hiyo machine Azam wanayo, ila miezi sita naona ni michache hapa lazima kazi ipigwe 24/7Weka hapa na sisi tuione sema wasafishe ndani ya maji na kumwaga mchanga mweupe wasije jenga nje tu
Ila wa tz siyo watafiti ile mihogo ilibidi tuichunguze wanaipikaje ili hadi huku uswahilini watupikie vizuri hao wapika mihogo wa coco watakufa na siri zao za upishiwanaipikaa uchiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umesahau Tandale kuna dream houses?Tuna appartment km hzo tandale...manake hzo ni za kiberaView attachment 1210195View attachment 1210196View attachment 1210197
Ile unachimba mchanga baharini halafu una uleta nje, ile sehemu iliyo kua na majani kote kujae mchanga kama copa cabana. Hiyo machine Azam wanayo, ila miezi sita naona ni michache hapa lazima kazi ipigwe 24/7
Loads of arse-lickers!π‘I said that in reference to your own words that Nairobi was built by whites. If this narrative is true then they must have seen something in Nairobi that they didn't see in Dar or Kampala to make them dedicate their time and energy in "building" Nairobi. So please tell me, what did they see in Nairobi that made them "develop" it?
You are the biggest arse-lickers because you believe that anything good must just be done by the white man. Look at your life ni***r!Loads of arse-lickers!π‘
At least you know what you wanted to know!You are the biggest arse-lickers because you believe that anything good must just be done by the white man. Look at your life ni***r!
So what???!..you try to compare tandale to the world's class A slums,be careful young boy
Why the hell on earth would I compare Tandale, a midlle income estate in Dar, with a slum like kibera? Jeez!So what???!..you try to compare tandale to the world's class A slums,be careful young boy
And at least you now know your are an arse-licker π π How about that?At least you know what you wanted to know!
Aje kibera ili apate kipindupinduNjoo kibera..upo huru..