Angalia hiyo na wivu wako wewe joblessView attachment 1195176View attachment 1195177View attachment 1195178View attachment 1195179View attachment 1195180View attachment 1195181
Hv kenya mnajua kuimba??!!!!!!Tanzania mna style gani basi...ama niile mtu ywaimba hku maneno mengine anatamka ni km yuko kijiweni...sikiza watu km akina otile wanvyotamka maneno...
Si eti mtu unaimba wimbo huku unataja maneno km hujielewi...
Siwez endelea bishana na ww ulimwengu unamtambua Pogba ni nani.Maskini...we hta siwez endelea kubishana na wewe kuhusu hili
Hivi unajua kuwa Uefa hadi America wanaitazama??!!!!!!!!!!Matusi huaga ni dalili za kushindwa...mi nadhani wewe huwajui wamarekani..unawaskiaga tu...patana na hta mmoja siku hyo ndio utajua...
Jamaa wanawadharau mpka jamaa wa kutokea europe..wanaona ni km wao wameendelea na hakuna km wao
Football ni mpira gan km sio wa miguu??!!!!We dogo unarukia mashaza matako wazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapasuka mkundu...
Nani kasema hapa american football ni mpira wa miguu...duh!!km huelewi mada imeanzaje kaa pembeni...
Am done with you...
We unanipotezea muda wangu
Sasa jiulize kuna msanii gani wa kenya hufanya show bongo zaidi ya sauti Sol??..
Otile brown anaimba kwa style ya bongo flavour, everyone knows that. Wala msijivunie kwa hilo kwasababu nyimbo zenu ni za wavuta bangi
Korodani = pumbuu ndiyo jina lako
Unaposema watatamba kwingine isipokua nchi moja unaona mwenyewe ni nani maarufu duniani. Kuhusu swala la mastaa wao nchi nyingi zina mastaa wao mfano wa pili kutoka usa ni india kwa kupenda mastaa wao wa cricket au waigizaji wao. Sasa wewe unapochagua staa wa usa na kumpa umaarufu kuliko staa wa football anaekubalika na nchi nyingi unanipa mashaka, ni kama demu anaeamua kupenda timu fulani kisa men wake anaishabikiaNaona umeumia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....halafu nikuulize..mchezaji gani wa mpira amabae unaweza mlinganisha na michael jordan kw kila sekta...
Wamarekani huaga hawapagawi na mpira kabisa...wale kule wana ma star wao wanawakubali zaidi ya huyo MESSI na CR7..
Kule kwao hao majamaa na u star wao wote lkn wakifika watabwaga chini na star mmoja tu wa american football...
Ma star wa mpira watatamba kwngine wala sio marekani jomba
Buda una mapenzi mazuri sana na USABasketball is the most popular sport in America followed by American football and soccer (football) in that order
Namshangaa huyu jamaa.Unaposema watatamba kwingine isipokua nchi moja unaona mwenyewe ni nani maarufu duniani. Kuhusu swala la mastaa wao nchi nyingi zina mastaa wao mfano wa pili kutoka usa ni india kwa kupenda mastaa wao wa cricket au waigizaji wao. Sasa wewe unapochagua staa wa usa na kumpa umaarufu kuliko staa wa football anaekubalika na nchi nyingi unanipa mashaka, ni kama demu anaeamua kupenda timu fulani kisa men wake anaishabikia
Heheee...nandy kwanza kapagawa tu..alitaka na yeye angalau atoke nairobi willy kamchanganya na kumpiga vitu...huoni hata album na yeye kaenda nairobi kui launch...lkn hvo hvo bado sana..
Heheee...mkenya akulipe kijinga jinga mfanye collabo...kwani anawazimu...
Ndo mana khaligraph kasema kila mtu afanye ya kwake..we ukitaka mfanye naye collabo mshtue tu..ila sio eti aanze kujipendekeza hku simu wengine hawazipokei kisa wewe umemzidi...jikaze kivyako vyako
Football ni mpira gan km sio wa miguu??!!!!
You might be a walking dead.
Unaposema watatamba kwingine isipokua nchi moja unaona mwenyewe ni nani maarufu duniani. Kuhusu swala la mastaa wao nchi nyingi zina mastaa wao mfano wa pili kutoka usa ni india kwa kupenda mastaa wao wa cricket au waigizaji wao. Sasa wewe unapochagua staa wa usa na kumpa umaarufu kuliko staa wa football anaekubalika na nchi nyingi unanipa mashaka, ni kama demu anaeamua kupenda timu fulani kisa men wake anaishabikia
Namshangaa huyu jamaa.
Eti anataka amfananishe kobe Bryant na Messi kwa mfano.
Ilhali Messi worldwide anajulikana na kukubalika huyo Bryant wanamkubali huko kwao me mwenyewe nimemjulia kobe ktk gazeti.
Post 158077 ina jibu lako.Sasa wamerekani hawalijui hilo...wao bora n mtu wao...si km kwenu bongo rooney kaja mkawasahau ma star..mpka wengine wametokwa na wazimu...
Thats why wanajiita superpower..kw sababu ya vitu vidogo vidogo tu km hvyo