Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngara ni zaidi ya kariakoo lakini hutaona Mkenya akipost picha hapa sababu tumezoea kuona majengo View attachment 1179501
Ngara ndo upuuzi gani? hivi unaijua Kariakoo wewe
7EFD5F45-8032-41A1-92E3-FF11003769E6.jpeg
32288943793_cdfba7acd5_b - Copy.jpg
32671400050_e3ba999c2b_b - Copy.jpg
C8oWzZQXYAI0r_o - Copy.jpg
C9EbBTrXkAA2G4q.jpg
DhRlTcoXcAMq3eF - Copy.jpg
DrLOnOUWwAMQggv.jpg
 
Still in Ngara....Park road affordable housing na hakuna madebe mob
tapatalk_1565626094632.jpeg
tapatalk_1565626114726.jpeg
 
Nairobi pekee iko na kariakoo zaidi ya mia moja na hayo majengo yamejengwa na wakenya wazawa bila usaidizi wa wazungu jinga hii
Achana na hawa watoto wa sisiemu. On one hand Wanasema nyumba zilijengwa na wazungu. On the other hand Wanasema hizo nyumba ni mbovu na hawawezi ishi. Hawa watu hawajielewi. Wacha waendelee kujaza Dar ni dream houses zao. At least we now know what these dream houses are
 
Wanatetea hizo slums zao sababu wote wanaishi huko
 
Back
Top Bottom