Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, soon safari za Dar- Kibera zitaanza. Ni mwendo wa kuendeleza bakora tu, tunawachapa kutokea kila pembe ya maisha.
So Kibera yetu ni ya kufananishwa na Dar Sluum? Tumekuwa tukisema hivyo tangu kitambo mkakataa lla kwa Sasa umekubali kuwa Dar is Sluum vs Kibela 😂😂😂 Thanks for the clarification bro.
 
Hii si kitu ya kupost hapa chauffeur boy, tushazizoea Pande za Kisumu, Nakuru, Mombasa na Nairobi.

Kama unajiamini weka moja nje ya Dar es Sluum

Na haturingi
View attachment 1175300
Ww hua unamaumivu na presha za kike😆😆😆 kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakula
 
So Kibera yetu ni ya kufananishwa na Dar Sluum? Tumekuwa tukisema hivyo tangu kitambo mkakataa lla kwa Sasa umekubali kuwa Dar is Sluum vs Kibela [emoji23][emoji23][emoji23] Thanks for the clarification bro.
Piga keleleeeeeeee, hahahaha, hahahaha.
 
Hehehe mumbai hio👏👏👇👇👇
99D85432-F540-461C-A2F9-83BADB766CEC.jpeg
 
Ww hua unamaumivu na presha za kike😆😆😆 kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakula
Ungesema nje ya Dar hamna such infrastructure ningekuelewa, Na Kama ipo ungekuwa umeweka tayari...mwaga povu Tena.
 
Leta link official inayosema kenya ina umeme 3800MW ukiniletea nitag nifunge account jamii forum
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW
1601MW vs 2700MW Acha bangi Ila sio mbali Tz 10,000MW ke 3500MW
Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? 😂😂😂 Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu😁😁
 
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW

Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? [emoji23][emoji23][emoji23] Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu[emoji16][emoji16]
Now 1601MW unaweza pata taarifa hizi kwenye vyanzo sahihi ukitaka
 
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW

Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? 😂😂😂 Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu😁😁
Sijui kama umenielewa kiswahili 😆😆😆 nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800
 
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW

Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? [emoji23][emoji23][emoji23] Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu[emoji16][emoji16]
Ldc mlitoka 2014 sio 1980 acha ujuha
 
Sijui kama umenielewa kiswahili 😆😆😆 nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800
Hujanielewa Kiswahili nimejua bia ukanushe nyir kuwa na 1500MW to 1359.69MW 😂😂😂
 
Back
Top Bottom