Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww hua unamaumivu na presha za kike😆😆😆 kwan kua na overpass ndio maendeleo au hujui maana na faida za overpass au kwenu overpass ndio inawapa chakula
Kama sio maendeleo mbona ulipost?
 
You forgot uwanja wa dhambi 😂 😂 😂

Screenshot_20190801-183622.png
Screenshot_20190801-183703.png
Screenshot_20190801-151402.png
Screenshot_20190801-183645.png
 
Niliweka hivyo nikubane, mbona hujakataa ya Tz sio 1500MW bali ni 1359.69 MW

Tulia buda, hata 1500MW imewashinda Tena kwa population ya more than 60million. Kwani hamna viwanda kwenu Tena ni kweli kuwa only 30% of Tanzanians are connected to the National Grid? 😂😂😂 Mashida za LDC ni quite amazing. Hapo tulikuwa in the 80s so msijali mtafika tu😁😁
Sijui kama umenielewa kiswahili 😆😆😆 nimekwambia niletee official source inayosema kua kenya ina MW 3800 ukipata nitag nifunge acc
 
So ww unanifundisha chakupost au unajua nilichomjibu mwenzio au umeamua kuvaa bikini yake???? Punguza umama
Umama ni wewe kijana wa tandale. Unaleta picha ya hiyo flyover yenu moja then mtu akileta ya Nairobi unamuuliza kama hiyo ni maendeleo. Wewe ulipoleta hiyo yenu moja ulijiuliza kama ni maendeleo? Pimbi Wewe!
 
Umama ni wewe kijana wa tandale. Unaleta picha ya hiyo flyover yenu moja then mtu akileta ya Nairobi unamuuliza kama hiyo ni maendeleo. Wewe ulipoleta hiyo yenu moja ulijiuliza kama ni maendeleo? Pimbi Wewe!
Unajua nilichomjibu mwenzio au unaamua kuvaa bikini yake???😆😆😆 miaka 50 muliojitenga wenyewe nikajua labda mutakua kama paris kumbe utumbo na ushuzi wa bata

Kasome post yake alaf ujue nimemjibu nn unakua kama beki tatu bana😅😅😅😅
 
Another loss making company😆😆👇👇




Go go unemployment rate😆😆👇👇

 
Inatisha coz you have deliberately chosen to look at it that way. Tell me, does your stadium have a superior playing turf than kasarani? Mention anything to me it has that kasarani doesn't have.
Wetu una viti ilhali wenu una vigoda
 
Back
Top Bottom