Usisumbuke sana ndugu. Watakuambi hiyo sio Dar bali ni Congo. Watu wa ajabu sana nakuambia!Dar is slum. View attachment 1168497
Nimekwambia zoom hio picha unioneshe slum heheh unajitia ujinga au sio😆😆😆Wewe ulishakana hiyo sio picha ya Dar. Sijui niamke nini inakuwasha
Dar is slum. View attachment 1168497
That's an Indian company so we careless. ingekuwa ni ya kikenya pengine tungewashwa. Wanaweza funga tu biashara if they can't compete
The only modern fire station in EA. View attachment 1168499View attachment 1168500View attachment 1168501
Hii ndio modern kweli???? Aisee nimecheka mpaka basi😆😆😆😆😆😆
Kwanaza aanze kutoa eneo la mbuga za wanyamaTunapokueleza habari size let me show u size ya jiji linamaanisha nn
Nairobi ina population 4.5m
Dar ina population ya 5.5m
Fanya hesabu sasa mukiambiwa muna slum simunakataa😆😆😆😆
Area ya dar 1590km sq
Nairobi ni 690km sq
Do calculations upate household per sq km alaf ujue nn maana ya slum na kwann nairobi kuna slum zinazoongoza dunia 😆😆
Is Nairobi built upwards n infrastructural planned like NY? Do u have tubes? Trams? Superhighways? Public bus system! Peleka upumbavu wako Kibera!And that still brings me back to my point: size doesn't matter at all. Nairobi, just like New York, may have a smaller area in square kilometres but has developed most of that area than Dar which has a bigger area but has done nothing with it compared to the small size that Nairobi has but has developed. That's what makes the difference so hii story ya size is neither here nor there. Najua kizungu itakupiga chenga hapa kama kawaida yako but jaribu uelewe
Atakwambia hii ni slumChukua mzigo huo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1168304
Hii imetenga Kariakoo ..Posta na Upanga vzurHatari sana View attachment 1168327
Kazoea slum😆😆😆Atakwambia hii ni slum
Buda umekomaa na mwaka 2012 ambapo hata BRT, AVIC, SILCON DAR, NYERERE BRIDGE, FLY OVERS, JNIA3, SGR, HIZO TOWERS NDEFU, BANDARI ILIYOBORESHWA, YAANI HATA SITAWEZA KUMALIZA NKIORODHESHA.
Akili yako kiduchu sana miaka 7!Wenzenu walishakubali kitambo sana na kuinamishia kichwa Nairobi hapa hapa JF. Hata nyinyi mtakubali tu muda sio mrefu
View attachment 1168443View attachment 1168444View attachment 1168445View attachment 1168446View attachment 1168447View attachment 1168448
kwa hivyo leo umekubali hiyo ni Dar? 😂 🤣 😂 🤣Nimekwambia zoom hio picha unioneshe slum heheh unajitia ujinga au sio😆😆😆
Kwanza hicho kipindi hata BRT hawajaanza ujenzi, ATCL ilishapoteana n.kThose people are not exposed like we are. This thread is unveiling things most people would never think are real and it's pathetic how you go looking for other people's comments. Go find yourself a place to live and food to eat coz you don't have em.