Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hasira zikipanda unaokota picha google πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† go on okota na za nigeria pia useme dar usisahau na za congo
 
Hata hii niliyotoa Congo inapendeza kweli

apart from this the remaining Dar is slums
 
Hasira zikipanda munaokota picha za google πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hii picha na nyinginezo ulishakataa sio za Dar. Iweje leo picha ya Congo inakuuma hivyo?
Nioneshe slum hapo au hujui maana ya slum au umekosa slum πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani ww uone slum alaf mzungu asione slum, ww na mzungu nani mjinga???🀣🀣🀣🀣
 
Kwa sababu umepumbazwa na uzalendo za kijinga, huwezi kuona hizo ni slums. Unachokiona Wewe ni dream houses tu. Achana na ndoto za mchana
 
Sio uzalendo ndio ukweli hua hamupendi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† onesha slum hapo umshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…