Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaaaa!!umeumia kuona huruma imeendelea kushinda huo uwanja wenu wa dhambi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu km hv katika uwanja wa dhambi ni mwiko[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sio mm usinilaumu ni google earth mzungu sio mjinga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1166333
 
Sasa hapo nini cha ajabu!!

Huruma ni slum ,acha ubishi..
 
Acha unisumbue na kunitesa ila hiyo poor and ugly design
Buda huna jipya, unacholalamika ni kuona rangi ya Bendera ya Taifa ukaona hamna jinsi ya kuitupia mtandaoni na kusema lipo kenya. Unajisumbua bure hapo ganda la ndizi sahau
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ so mzungu ni mjinga au sio yani aweke sattelite ya mabilioni alaf awe mjinga
 
Mombasa kisumu hakuna kwani??? Likoni bridge toka mumeanza kutangaza ni miaka 50 sasa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Munajifanya kujitapa hapa na hakuna kitu mumefanya cha maanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

When they tried to build a Sigiri bridge in Budalang'i constituency.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†sigiri naikumbuka sana ilikua muda wa kuzinduliwa umekaribia alaf ikabutuka
Ilizinduliwa kabisa halafu ikabituka baada ya siku kadhaa! Kama si siasa za ukabila za tano tena Uhuruto wasingekuwa madarakani.

 
Yani wakati mnasherekea 1.5 million tourists sisi tuko 2 million! Number yetu mtasoma milele. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi ndio wakubalike pili baada ya Waamerika kuja kutalii Kenya. Leteni kabisa hizo hela za madafu zenu tujenge nayo uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…