Uwongo mwingi kaka... Hahaha economy yenu 61b Kenya 100b
2018 wameingia 1.5milliion na tumetengeza 2.4b usd sasa mwaka huu wanafika 2million na tutaingiza 3b usd [emoji116][emoji116]
Kenya walipata pesa kwenye utalii less than 1b 2018[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] niliskia masai mara kuna hoteli mpaka 20usd per night