Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,397
Stop sugarcoating it my friend. An informal settlement is just another word for slum. kwa hivyo just say that's a slum and stop beating around the bush. Endeleeni kujazjiji lenu na "dream houses". At least we know what those dream house are as per the pics shared. Free word of advice though... You, and I mean Tanzanians, need to set your standards high. How do you even proudly say those are dream houses. Naomba muamke kutoka kwenye hizo ndoto and face the realityThose are informal settlements. Na Tanzania ujenzi wa homes ni tofauti na kenya. Tanzania unaweza ukakuta hapa kuna mansion, pembeni kuna bungalow na watanzania wengi hawaishi kwenye "estates" kama za kenya zenye nyumba za kufanana kama nyumba za kwenye game, watz wanajenga nyumba zao kwa ramani wanazozipenda na hii ndo tunaita "dream houses" umeelewa?