Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mradi hta haujakamilika...unataka usifie na kitu amabacho huna kw sasa
..
Wakati kenya wakiandikwa BBC,CNN,ALJAZEERA Kwa kuzindua mradi wa kufua umeme wa upepo utakaozalisha 300MW

Tanzania imezindua Rufiji hydroelectric dam itakayozalisha ×7 ya wa kenya na hakuna any international media imeandika...
Thumb up wazee Hawa nyumbu hawana Pumzi
 
Nairobi inakunyima usingizi.CBD.View attachment 1164333

Ukweli hautapingikq😆😆👇👇👇
7888380B-53C0-4F57-8481-CBFD2DC47F9F.jpeg
4E6B8BB9-661E-43E9-A857-62A2103C9238.jpeg
 
The forth wapi wakat mpaka upper hill na CBD zinaonekana😆😆😆😆😆

Umepost picha ya kilimani inside the pic CBD na upper hill ziko ndani😆😆😆😆 yani hapo tu ndio hua munanifurahisha sana
 
Leta google earth kama hii ikionesha slum in dar😆😆😆😆👇👇👇👇👇otherwise endelea kuokota picha za google
View attachment 1163730
Kawaida yenu Midanganyika hamkubali vitu zilizo wazi. Unasema naokota picha kwa internet wakati moja ya hizo picha inaonyesga hadi hiyo brt yenu vizuri sana. Mnatia huruma sana.
 
Endelea kuokota picha za google chukua na za nigeria na congo useme dar😆😆😆😆

Dar hakuna udongo mwekundu never😅😅
Ni kweli kabisa. Mbona sisi wakenya tuko na uchokozi hivi? Mbona tunapenda kuleta picha zisizo za Dar Na kusisitiza ni za Dar? Kwa maana hata hizi picha hapo chini sio za Dar bali ni za Nairobi, mji wa slums. Hiyo BRT Haipo Dar kabisa, Brt ya Dar haikai mbavu hiyo. Hiyo haiwezi kuwa Dar kwa sababu hata baba wa Taifa Nyerere alikataa! Magufuli pia amekataa, mbona sisi tukubali. Haiwezekani. Wakenya waendelee kuokota picha mitandaoni
😂 🤣 😂 🤣
Screenshot_20190727-151259.png
Screenshot_20190727-151231.png
Screenshot_20190727-151209.png
 
Back
Top Bottom