Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chakula unachokula mchele na maize na fruits unajua yanatoka wapi????????
Just because you supply a mere portion don't come and brag to us, that happens all over the EAC block. We also reciprocate the same to your country. Hii yenu sijui hua nikukosa elimu au ni ignorance tu.
 
Dear Forum Member,
This is a fourth reminder that you still haven't submitted proof to your allegations as quoted verbatim below:

'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy

It would be of great importance for the sake of this discussion that you provide proof to your allegations.
Awaiting your positive reply.
Kind regards,
Kwelko.
hehee...kamata mwizi.nadhani hajui tofauti ya proposed,site prep na excavation....mwambie ilikwama tu aridhike
 
Hatutaki sifa za kipuuzi mm nataka kuona picha ya foundation ya jengo la hass tower, ctaki kuskia kua munachimba,,,,wakenya mukwapi tafadhali rudini 😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Dear Forum Member,
What you want to hear or Dont want to hear is none of our business at this juncture. For the sake of your argument, please provide proof of your allegations as quoted below.
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy.
It is also noteworthy that this conversation will not take any new turn as you are attempting to do until your allegations are well proven.
Kind regards,
Kwelko
 
mnatulisha nini the only TZ product I have consumed ni Azam Energy Drink pekee.
Nawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
 
umesahau mkipangiwa sukari juzi tu apa na ardhi yenu yote iyo ambayo kila siku mnaisifia...mnaifanyia nni
 
hehee...kamata mwizi.nadhani hajui tofauti ya proposed,site prep na excavation....mwambie ilikwama tu aridhike
Nataka kuona foundation ikijengwa sio kuchimbwa my friend usibadili mada were is foundation ya hass tower simple qns??????😀😀😀😀😀😀
 
Nawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
we mama.. unadhani Kenya pia ukienda dukani unapangiwa viwango vya kununua vile nyi hupangiwa mpaka beer ngapi unafaa kunywa? endelea kunywa uji wa mbuyu ujaze akili yako
 
Dear Forum Member,
What you want to hear or Dont want to hear is none of our business at this juncture. For the sake of your argument, please provide proof of your allegations as quoted below.
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy.
It is also noteworthy that this conversation will not take any new turn as you are attempting to do until your allegations are well proven.
Kind regards,
Kwelko
Were is the pic my friend kwanini unajizungusha wapi picha ya ujenzi wa hass tower sio kila siku unatuekea picha munachimba wapi picha sasa tuone kweli munajenga 🙂🙂😛😛😛😛
Wapi picha ya maendeleo ya ujenzi wa hass tower leo watanzania wanataka kuona wapi mutatoka🙄
 
siunajua nai??njoo ujionee na kama huijui ntakutembeza
 
umesahau mkipangiwa sukari juzi tu apa na ardhi yenu yote iyo ambayo kila siku mnaisifia...mnaifanyia nni
Kumbuka sukari zio basic need kwa mwanadamu unaweza ishi bila kunywa chai ila huwezi ishi bila chakula
 
Dear Forum Member,
What you want to hear or Dont want to hear is none of our business at this juncture. For the sake of your argument, please provide proof of your allegations as quoted below.
'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy.
It is also noteworthy that this conversation will not take any new turn as you are attempting to do until your allegations are well proven.
Kind regards,
Kwelko
Mm sitaki maneno I need to see pictures ya development ya hass tower leo nataka tuone ujanja wa wakenya uko wapi so mutuambie miaka yote munachimba, wapi picha tuone at least foundation sitaki kuona floors wapi foundation tafadhali wakenya saidianeni hata muibe ya sehemu nyingine muhamishe plz 😀😀😀😀😀
 
siunajua nai??njoo ujionee na kama huijui ntakutembeza
Ikwapi sasa picha uliosema kua ujenzi unaendelea nataka kuona foundation nilitegemea kuona at least 15 floors yote ctaki nataka kuona foundation zikijengwa tu plz saedeque kwann unaruka kaka😀😀😀😀
 
Kumbuka sukari zio basic need kwa mwanadamu unaweza ishi bila kunywa chai ila huwezi ishi bila chakula
nonsense....unajichanganya sasa.haya tuambie ni chakula gani tumepangiwa na utupatie iyo proof
 
images-1.jpeg
 
we mama.. unadhani Kenya pia ukienda dukani unapangiwa viwango vya kununua vile nyi hupangiwa mpaka beer ngapi unafaa kunywa? endelea kunywa uji wa mbuyu ujaze akili yako
Unamhurumia nani???? Jihurumie wewe na wenzako kua sasa munaanza kupimiwa chakula hali mbaya kenya
 
Nawahurumia sana yani nchi ikefikia maahali mnapangiwa kiwango cha chakula cha kununua that is serious issue kama hamna jituma kubana serekali ibadili sheria ya ardhi ili watu wengi wamiliki ardhi waweze Kujilimia chakula kila mwaka mtakuja Tanzania Julia njaa
so you think Kenyans don't own land? And fooled you owning land means more agricultural productivity. Hii ushamba mkonayo is very alarming.
 
Were is the pic my friend kwanini unajizungusha wapi picha ya ujenzi wa hass tower sio kila siku unatuekea picha munachimba wapi picha sasa tuone kweli munajenga 🙂🙂😛😛😛😛
Wapi picha ya maendeleo ya ujenzi wa hass tower leo watanzania wanataka kuona wapi mutatoka🙄

For the sake of sanity and direction, let's get back to where we lost each other. Let's recollect then maybe we can help you get that block of stool holding your bowel movement.
So if i'm getting you correctly, you are insinuating that Hass Tower is a fallacy and is not an ongoing project. So basically if you are not given pictures za ujenzi utaconclude kwamba hakuna project inayoendelea sivyo?
 
Ikwapi sasa picha uliosema kua ujenzi unaendelea nataka kuona foundation nilitegemea kuona at least 15 floors yote ctaki nataka kuona foundation zikijengwa tu plz saedeque kwann unaruka kaka😀😀😀😀
i think you dont know what you are talking about...i said excavation is going on yenye unataka iishe kwa wakati unaotaka wewe.nashindwa kuelewa kama uko na any knowledge ya engineering kwa mambo ya structures ama civil?ata ikachukua miaka mia I care less,they have their reasons but the bottom line is,the project wont stall just because you said so
 
Duka ikiwa na shortage usikuje hapa kupayuka ety ni nchi mzima, the retail centers at my place sijaona any food shortage on the shelves. Spare us your crap.
 
nonsense....unajichanganya sasa.haya tuambie ni chakula gani tumepangiwa na utupatie iyo proof
Ye amekwambia kulingana na habari aliyoiskia kua kenya upatikanaji wa chakula umekua mbaya zaidi kias kwamba serekali inataka kuingilia kati ugawaji wa chakula kwa kipimo elewa mantiki kwanza
 
Back
Top Bottom