Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ivi wa Kenya tutawalisha chakula mpaka lini
Poor Kenyans Jana nimeona kwenye habari kwa sasa wanapangiwa kiwango cha chakula cha kununua madukani

Inabidi mbadili sharia ya ardhi mnyanganye ma bwanyeye ardhi mjilimie chakula
La sivyo kila mwaka Tanzania itaendelea kuwalisha
 
heheheh kwenda huko sasa mimi nikupe pics kama nani?? oneni huyu jamaa!! kwani we ndio nani. ukitaka pics kajipigie mwenyewe ama ugoogle na kama huwezi conclude unavotaka, doesn't change anything. It's so relieving to know that your opinion is yours alone and affects nothing. Kunywa konyagi, kojoa ulale.
Hahhahhhhhha wapi picha hio ya miaka mitatu na nusu munachimba tu au munachimba madini😀😀😀😀😀😀😀
Wapi picha bro kwanini unatoa povu hvo🙂
 
where is the proof that ni ya miaka tatu na nusu? can you give us the proof please?
 
do you have proof that construction started in 2014? can you share that proof?
Umeshindwa kuniletea pic nione wapi munajenga hass tower toka 2014 nyie munachimba tu miaka mitatu na nusu munachimba tu🙂😀😀😀😀
 
where is the proof that ni ya miaka tatu na nusu? can you give us the proof please?
Wapi picha usiniulize swali wakati swali langu hujajibu, wapi picha ya hass tower nione ujenzi mumefkia wapi kwa sasa au bado munachimba tu😀😀
18161946_1952883611597080_305513925846237184_n.jpg
 
Ivi wa Kenya tutawalisha chakula mpaka lini
Poor Kenyans Jana nimeona kwenye habari kwa sasa wanapangiwa kiwango cha chakula cha kununua madukani

Inabidi mbadili sharia ya ardhi mnyanganye ma bwanyeye ardhi mjilimie chakula
La sivyo kila mwaka Tanzania itaendelea kuwalisha
Walime wapi ardhi takriban yote jangwa kwao..
 
Wapi picha usiniulize swali wakati swali langu hujajibu, wapi picha ya hass tower nione ujenzi mumefkia wapi kwa sasa au bado munachimba tu😀😀😀😀😀😀😀

wapi proof ya allegations zako za kitoto kwamba ujenzi ulianza 3 and a half years ago. Leta proof. yours is a classic case of 'when a lie is said over and over again it becomes the truth' . Today i am here to establish your lie. Until you can bring proof of your baseless allegations, koma kuitaja Hass . Na ukome sana!!
 
where is the proof that ni ya miaka tatu na nusu? can you give us the proof please?
Katika mawazo yangu nilitegemea kuona at least 15 au 20 floors tayari zimejengwa.....zikwapi sasa hata foundation nione tu plz😀😀😀😀
 
Umeshindwa kuniletea pic nione wapi munajenga hass tower toka 2014 nyie munachimba tu miaka mitatu na nusu munachimba tu🙂😀😀😀😀

Dear forum member,
Kindly provide proof of your allegations highlighted in BOLD RED above.
Kind regards,
Kwelko
 
wapi proof ya allegations zako za kitoto kwamba ujenzi ulianza 3 and a half years ago. Leta proof. yours is a classic case of 'when a lie is said over and over again it becomes the truth' . Today i am here to establish your lie. Until you can bring proof of your baseless allegations, koma kuitaja Hass . Na ukome sana!!
Mm leo nataka unioneshe foundation ya hass tower ambayo leo inamiaka mitatu na nusu, swali langu bado munachimba??????? Nakama ujenzi unaendelea naomba nione foundation tu only that plz weka picha sio maneno🙂🙂🙂😀😀😀
 
Katika mawazo yangu nilitegemea kuona at least 15 au 20 floors tayari zimejengwa.....zikwapi sasa hata foundation nione tu plz😀😀😀😀

Dear forum member,
Kindly provide proof of your allegations as quoted below:
'munajenga hass tower toka 2014 ~ ichboy'
Kind regards,
Kwelko
 
Dear forum member,
Kindly provide proof of your allegations highlighted in BOLD RED above.
Kind regards,
Kwelko
Wapi picha ya foundation ya hass tower tu ctaki kuona floors nataka kuona foundation tu plz😀😀😀😀😀😀😀
 
Dear forum member,
Kindly provide proof of your allegations as quoted below:
'munajenga hass tower toka 2014 ~ ichboy'
Kind regards,
Kwelko
Na je mgekua mushajenga hio foundation ingekuaje ungeacha kuleta picha😀😀😀😀😀😀😀
Usibadilishe njia kwanza ikwapi picha ya ujenzi unaoendelea wa hass tower ikwapi tafadhali wakenya msaidieni mwenzio😀😀😀
 
Dear Forum Member,
This is a fourth reminder that you still haven't submitted proof to your allegations as quoted verbatim below:

'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy

It would be of great importance for the sake of this discussion that you provide proof to your allegations.
Awaiting your positive reply.
Kind regards,
Kwelko.
 
Hatutaki sifa za kipuuzi mm nataka kuona picha ya foundation ya jengo la hass tower, ctaki kuskia kua munachimba,,,,wakenya mukwapi tafadhali rudini 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ivi wa Kenya tutawalisha chakula mpaka lini
Poor Kenyans Jana nimeona kwenye habari kwa sasa wanapangiwa kiwango cha chakula cha kununua madukani

Inabidi mbadili sharia ya ardhi mnyanganye ma bwanyeye ardhi mjilimie chakula
La sivyo kila mwaka Tanzania itaendelea kuwalisha
mnatulisha nini the only TZ product I have consumed ni Azam Energy Drink pekee.
 
Dear Forum Member,
This is a fourth reminder that you still haven't submitted proof to your allegations as quoted verbatim below:

'munajenga hass tower toka 2014' ~ ichboy

It would be of great importance for the sake of this discussion that you provide proof to your allegations.
Awaiting your positive reply.
Kind regards,
Kwelko.
Wewe na mwenzako saedeque mumeniambia kua ujenzi unaendelea sasa ili nione ujenzi unaendelea na umeanza siku nyingi nachotaka kuona kua at least nione foundation tu ctaki kuona floors nataka kuona foundation ikijengwa plz......wakenya tuwe na desturi ya kujibu maswali sio kuchange direction naomba musaidiane kujibu......wakenya plz rudini😛😛😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom