ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sitaki kupingana na wewe,huo ndo msumari moto kwenye donda lako,,acha sindano ikuingie kwelikweli.
Ingine ndo hiyo..ndo ujue this is kenya
kama hukutosheka na ya jana,mjeledi mwingine ndo huo
Hahahhahahaha acha nidhamu ya uoga baba
Mlichonacho huku vinafanyika Mara mbili my friend kua mpole😀😀😀😀
Usichukie 😛😛😛😛