Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Kuna nyang'au zimecomment utumbo humu wa maana!jamaa wana wivu sana!
Kuna nyang'au zimecomment utumbo humu wa maana!jamaa wana wivu sana!
Mji gani Europe unasumbuana na Tokyo?M naona ile miji ya europe wanai hype tu..lkn in future..asia watakuwa mbali sana
Hawa jamaa wameshiba au wamevunga njaa?[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mji gani Europe unasumbuana na Tokyo?
Even by the year 100 hizo miji mitatu Dar ,Lagos na Kinshasa zitakuwa majority mitaa duni ya vibanda.Hivi leo Lagos ni 70% makazi duni .