Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,062
- 79,089
Onyesha wap 12mln tons of cargo!12 million tonnes
mombasa 30 million tonnes.
what a shame .
Onyesha wap 12mln tons of cargo!12 million tonnes
mombasa 30 million tonnes.
what a shame .
Lakini chakuskitisha over 30 munalia kama watoto wadogo😆😆😆its just like Dar without the 3 towers
Wengine wako kwenye air transport miaka 50 wanamiliki ndege 3 tu chakavu😆😆😆Tanzania pesa ipo View attachment 1156920
Kaja kutubu😆😆😆👇👇👇
Madeni kwani kakopa? Ametenga fedha kwenye budget 2019-2020! Budget ya 2020-2021 another 3 aircraft!Huyu Magu anaiweka Tz kwa madeni makubwa sana kufanya hivi. Air transport should be private business done purely on commercial basis wala sio political project kama hii.
Acha kukariri, kama serikali haiwezi kuendesha kitu kwa nini Jeshi lenu lisiwe private?Huyu Magu anaiweka Tz kwa madeni makubwa sana kufanya hivi. Air transport should be private business done purely on commercial basis wala sio political project kama hii.
Acha kukariri, kama serikali haiwezi kuendesha kitu kwa nini Jeshi leni lisiwe private?
Washazoe kwao hati JoJo wanakopaMadeni kwani kakopa? Ametenga fedha kwenye budget 2019-2020! Budget ya 2020-2021 another 3 aircraft!
Kwanza ulifaa kuuliza upewe jibu kama vile kq inayoendesha hasara miaka 7 sasa na huku mukimiliki ndege 3 tu chakavu😆😆😆 yani miaka 50 muko kwenye transport bado munamiliki ndege 3 chakavuHuyu Magu anaiweka Tz kwa madeni makubwa sana kufanya hivi. Air transport should be private business done purely on commercial basis wala sio political project kama hii.
Yani hawa jamaa wanawivu wakijinga sana alaf wanamchukia huyu jamaa kwasababu kawabana mbavu sana😆😆😆Madeni kwani kakopa? Ametenga fedha kwenye budget 2019-2020! Budget ya 2020-2021 another 3 aircraft!
JPM knows not the dynamics of the airline industry. Its not just buying planes. Mark my words I wish no one bad luck/failure but this ATCL will end in a disaster. Will bankrupt Treasury and fail massively. I'll come back to this comment probably in 3 years. Enjoy the rosy figures, praises and shinny brand new planes in the mean time.Tanzania pesa ipo View attachment 1156920
Hio ni dua la kuku halimpati mwewe nyie muna wivu wakijinga sana hatuwez kuongeza ndege kama biashara hakuna tanzaniaJPM knows not the dynamics of the airline industry. Its not just buying planes. Mark my words I wish no one bad luck/failure but this ATCL will end in a disaster. Will bankrupt Treasury and fail massively. I'll come back to this comment probably in 3 years. Enjoy the rosy figures, praises and shinny brand new planes in the mean time.