Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar ni city
👇 👇 💉 💉 Caption this
Capture56.PNG
 
Attachments

  • 9786763_tapatalk1562594521103_jpeg_jpeg18b97132cb895f8f3b9e5de9756a564d.jpeg
    9786763_tapatalk1562594521103_jpeg_jpeg18b97132cb895f8f3b9e5de9756a564d.jpeg
    45.5 KB · Views: 15
  • 9786763_tapatalk1562594521103_jpeg_jpeg18b97132cb895f8f3b9e5de9756a564d.jpeg
    9786763_tapatalk1562594521103_jpeg_jpeg18b97132cb895f8f3b9e5de9756a564d.jpeg
    45.5 KB · Views: 16
Aaaweee ..uskie news halafu msifungue uzi...subutu...

Halafu mlivyopigwa..hela ya ujenzi na treni kivyake vyake...mbna ujinga
Nilisoma kwenye news. Wivu wa nini lakini? kama mmefanyiwa umafia si ni nyie wenyewe na upumbavu wenu. For once naona wakenya wakihofia maendeleo ya Tanzania.
 
Aaaweee ..uskie news halafu msifungue uzi...subutu...

Halafu mlivyopigwa..hela ya ujenzi na treni kivyake vyake...mbna ujinga
Kwani we tatizo lako ni nini haswa? maana sisi project yetu bado mbichi hata haijaiva. Nyie mmeshaanza project na treni za karne mida ya BC, project mpaka sasa hivi ni hasara na scandals tupu. Kama una worry sana kuhusu project yetu, that's none of your goddamn business. Kabadilishe ile miwagon ya migodi kwanza ndo urudi hapa kujudge chochote
DiYWm-lXUAACHC_.jpg
Kenya-Vs-Morocco.jpg
780CB898-35D6-42F7-B00C-190169825C20.jpeg
 
Zanzibar ni mji au Nchi?
Ondoa Dar hizo zingine ni vijiji.
🤣 🤣 🤣 kondoo wengine huwa wanatia huruma. Facts! facts! facts! hatutaki hard feelings tunatumia facts! Zanzibar ulikuwa mji kabla hata nairobbery kuwa mji hilo ndio uelewe. Kwa akili zenu ndogo mnadhani kuwa mji ni maghorofa tu
zanzibar dar es salaam speed boat ferry.jpg
 
Scandal mbna tanzania ndio za kutisha...$12,000,000 kw ajili ya matibabu...

1.2trillion..mpka leo bunge halija jadili...

Naona umeleta sgr dume...inabeba mizigo mingi hta kushinda hyo yenu ya kifafa
Kwani we tatizo lako ni nini haswa? maana sisi project yetu bado mbichi hata haijaiva. Nyie mmeshaanza project na treni za karne mida ya BC, project mpaka sasa hivi ni hasara na scandals tupu. Kama una worry sana kuhusu project yetu, that's none of your goddamn business. Kabadilishe ile miwagon ya migodi kwanza ndo urudi hapa kujudge chochote
View attachment 1151877View attachment 1151878View attachment 1151879
 
Ukwel haubadiliki...zanzibar ni nchi...tanganyika ni nchi...tanzania ni muungano...

Stone town nayo ndio capital ya zanzibar
kondoo wengine huwa wanatia huruma. Facts! facts! facts! hatutaki hard feelings tunatumia facts! Zanzibar ulikuwa mji kabla hata nairobbery kuwa mji hilo ndio uelewe. Kwa akili zenu ndogo mnadhani kuwa mji ni maghorofa tuView attachment 1151882
 
Scandal mbna tanzania ndio za kutisha...$12,000,000 kw ajili ya matibabu...

1.2trillion..mpka leo bunge halija jadili...

Naona umeleta sgr dume...inabeba mizigo mingi hta kushinda hyo yenu ya kifafa
Mi naona progress ikifanyika na hilo ndilo nialolifurahia. Scendals kwenu sio wachina tu. Hasara mnazopata kutokana na ujenzi wa sgr ni sheedah!
 
Back
Top Bottom