Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.
View attachment 1150971View attachment 1150972