Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Nakwambia hii nchi yetu Raha,ushindani Hadi kwenye anga utadhani ni kampuni za mabasi na hili limechochea uchumi kukua.Hku kw anga wameingia mkenge
Nakwambia hii nchi yetu Raha,ushindani Hadi kwenye anga utadhani ni kampuni za mabasi na hili limechochea uchumi kukua.Hku kw anga wameingia mkenge
Huo ni mji wa kihistoria then hao jamaa utamaduni wao ni unique sana, wanachokifanya hakimaanishi kipo tanzania nzima.Abiria Hawawezi wakalipanda lakini wanaabiri haya sio?View attachment 1136157View attachment 1136158View attachment 1136159
Raha mpka basi nakwambia...mindege utafikiria ni dala dala...na bado inaongezeka tuNakwambia hii nchi yetu Raha,ushindani Hadi kwenye anga utadhani ni kampuni za mabasi na hili limechochea uchumi kukua.
Kuna kampuni ya ndege ya kimarekani ina ndege 750 American airlinesRaha mpka basi nakwambia...mindege utafikiria ni dala dala...na bado inaongezeka tu
Unamaanisha nnKuna kampuni ya ndege ya kimarekani ina ndege 750 American airlines
Leased Aircraft
Dah ! Yani wakenya mna mambo nyie mnapeleka ndege kila mkoa utadhani ni daladala? Ilihali wenzenu hata ndege ya kitaifa hatuna ,mtuhurumieni bana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116] capital airlineRaha mpka basi nakwambia...mindege utafikiria ni dala dala...na bado inaongezeka tu
Jamaaa kapagawa kuona mpka turkana kunatuwa mindege...Dah ! Yani wakenya mna mambo nyie mnapeleka ndege kila mkoa utadhani ni daladala? Ilihali wenzenu hata ndege ya kitaifa hatuna ,mtuhurumieni bana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116] capital airlineView attachment 1136449View attachment 1136450View attachment 1136451View attachment 1136452View attachment 1136453View attachment 1136455
We jifariji tu kakangu huku ukimeza vidonge ninavyokurushia.748 air services. Hata KQ ikianguka leo wapo watoto wengi tu ambao watachukua nafasi na kupeperusha bendera in other words tumejipanga my friend.Leased Aircraft
Jambojet Selects Q400 for Fleet Renewal and Expansion - Bombardier
Bombardier Commercial Aircraft confirms that Ilyushin Finance Co. (IFC) has converted an option on one Q400 aircraft to a firm order.www.bombardier.com
![]()
Jambojet to lease four planes in expansion plan
Jambojet will be leasing four more aircraft this year as it seeks to boost its fleet.www.businessdailyafrica.com
Bado unakuwa mbishi na kuitaja Bukoba?We waijua lamu kwel au waiskia...,moyale je?...
Duh!!!yaonyesha kile kipigo cha turkana cha juzi bado kinawazuzua...bado huamini bro kuona turkana imesonga angalau kiasi...
Siri yake ugatuzi...2013-2019 turkana hvo vyote vilikuwa havipo....ugatuzi hoyee...ndani ya miaka sita turkana tayari imeanza kuipa bukuba rival
Wamekimbia wote sasa **** boya mwengine anakuja na story za bukoba,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wanafikiria wakenya ni wafukara kama wao? Acha niwarushe roho.Jamaaa kapagawa kuona mpka turkana kunatuwa mindege...
Yule aliyeitaja lamu katoweka....namuonjesha tu akatulia
Wembe! Usibadili topic. Tupo kwenye aviation industry.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bado unakuwa mbishi na kuitaja Bukoba?
Utashangaa hata Nairobi inazidiwa mbali Sana hasa hiyo sijui Westgate
Wewe ! Kula hio.Kuna kampuni ya ndege ya kimarekani ina ndege 750 American airlines
Umeiona kwanza lamu...nlikuwa nakwambia kila county sai iko na referral hospital ukaleta ubishi...nikakupa turkana,sai ni lamu...na badae ukijichanganya nakupa marsabit...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado unakuwa mbishi na kuitaja Bukoba?
Utashangaa hata Nairobi inazidiwa mbali Sana hasa hiyo sijui Westgate
Kwamba nawewe nilivyopost hujaona?Umeiona kwanza lamu...nlikuwa nakwambia kila county sai iko na referral hospital ukaleta ubishi...nikakupa turkana,sai ni lamu...na badae ukijichanganya nakupa marsabit...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya ndio Baba wao ,Kenya ikikohoa wale wengine wanaitikia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!hapa ni 10 nil nakwambia...vitu km hv ndivyo vinaonyesha kabisa kuhusu uchumi wa watu wa kipato cha kati ya haya mataifa mawili
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Acha ikuingie kabisa! Kwani hata pangaboy hamna?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba nawewe nilivyopost hujaona?
Jamaa wamechokoza....wamebaki kuleta maneno ya vijiweni tu....bwahahaaaaAberdair fleets. Hahaaa hawa watoto wadogo Acha niwape syrup maana naona vidonge vinawaumiza. If you are looking for a private jet or helicopter to fly you to your destination, look no further Kenya is here to serve you. Kenya the pride of Africa.View attachment 1136542View attachment 1136543View attachment 1136544View attachment 1136545View attachment 1136546View attachment 1136547View attachment 1136548View attachment 1136549View attachment 1136550View attachment 1136551View attachment 1136552View attachment 1136553View attachment 1136554View attachment 1136556View attachment 1136557View attachment 1136558View attachment 1136559View attachment 1136560View attachment 1136561View attachment 1136562
Bro...wamekimbia...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Aberdair fleets. Hahaaa hawa watoto wadogo Acha niwape syrup maana naona vidonge vinawaumiza. If you are looking for a private jet or helicopter to fly you to your destination, look no further Kenya is here to serve you. Kenya the pride of Africa.View attachment 1136542View attachment 1136543View attachment 1136544View attachment 1136545View attachment 1136546View attachment 1136547View attachment 1136548View attachment 1136549View attachment 1136550View attachment 1136551View attachment 1136552View attachment 1136553View attachment 1136554View attachment 1136556View attachment 1136557View attachment 1136558View attachment 1136559View attachment 1136560View attachment 1136561View attachment 1136562