Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi hatuna uboya tunakuza viwanda vya ndani Kwa kununua vinavyotengezwa Kenya hata hayo yutong buses zinakua assembled here.
Nioneshe sehemu youtong zinakua assembled kenya wallah ukinionesha nafunga account jamii forumπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Unataka kua kama masai anaeamini kila ngombe duniani ni kwa ajili ya wamasaiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkifikia hii level unitag. Usafiri wa anga wa ndani bila kutumia KQ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…