Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apart from The slum city of Nairobi,
Kwengineko Kenya yote ni Ufukara na Funza Njaa. Everybody knows.
Ulifananisha Bukoba na Kule Kwenye Njaa kali Tukana. Ukala za uso
Heheeeee...na wakati hukuamini kilichotokea....bwahahahaaa....

Naona turkana imekuchanganya akili
 
https://www.facebook.com/
Vyuma vimekaza..bwahahaaa...another tembo mweupe
Kwa kweli huu ujinga umekuwa fasheni hauingii akilini kutumia bilions of money za walipakodi na mikopo eti kujengea stand huu ni ujuha,faida ya hayo na community stand ni nini Bora ingetengwa sehemu kila kampuni ijenge ofisi kama kuna ulazima ishu ya ushuru wahusika wanaweza weka control post popote wakachaji
 
Heheeeee...vimekuumiza...bwahahaaaa
Free wi-fi..entertainment..pia kuna charging sockets...utaumia sana na wafanyibiashara wa kenya....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Wapuuzi tu hawa...halafu wakulima wa korosho waliwarusha hela zao
 
Heheeeee...vimekuumiza...bwahahaaaa
Free wi-fi..entertainment..pia kuna charging sockets...utaumia sana na wafanyibiashara wa kenya....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sockets za kuchajia? unamaanisha kwenye treni hamna? inamaana kumbe unasafiri umbali mrefu sana mpaka kuifikia terminal? au unacharge dakika chache, unashuka n then unaenda kuendelea kucharge kwenye treni. Budaa huyo katumia akili kubwa sana, hao ndio wakenya wenye IQ kubwa kuliko wengine
 
Kwanza utambue hakuna mkopo kwenye huo ujenzi alaf la pili nenda shule usome faida za kua na stage ya kisasa kama hio mbuzi weweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbna unaogopa...baada ya mabasi ni reli,then angani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa naona nimekukamata...lazima ulie
Buda kwa angani usifikirie maana kwenye ndege utaenda kutupostia za kuazima swala ambalo utatupotezea muda,na kwa airport hamna jipya zaidi ya jkia iliyojaa viraka.
Kuhusu treni kwanza jifunze kuwa na aibu maana ni sawa na kumringishia mwenzako mtumbwi kisa tayari upo majini wakati ndio anajiandaa kuingiza boti lake majini
 
Pumba tupu...bwahahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]kula lamu kwanza...umelianzisha wewe..usilie kijana...sitaki maelezo hapa..[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Duh, nimejionea tofauti, Malori yaliyochongwa na proper Passenger vehicles . [emoji1474]
Ile kampeni ya kuondoa buses zenye chasis za roli ilisaidia kuondoa mentallity ya matajiri wa tz kuleta haya malori ya abiria, now they are thinking out of the box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…